Waliooa wamasai tupeane changamoto na ubora wao

Nataka kuoa mmasai naomba kujuzwa mambo kadhaa wawapo ndani ya ndoa
Sijawahi bahatika kabisa sijui kwa kuwa huku mbeya adimu.
Ila kiukweli wapo romantic sana yaani ukimuona tu unatamani kumtafuna tu.Their way of dressing is so romantic any time.

Mbarikiwe huko huko mliko mimi mla panya swanga nina nafasi yenu huku mkuje tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi nilikuwa natoka na mmasai fulani hivi. Siku ya kwanza kucheza nae mechi, nashangaa ile nimeanza hata dakika 2 sina, naona mtu anaanza kulia. Nikahisi labda namuumiza, so ikabidi nisitishe zoezi kidogo. Huku namshangaa,namuuliza vipi mbona unalia, au nakuumiza?

Ajabu na yeye akawa ananishangaa,then akajibu eti alisikia wenzake wanasema ukifanya mapenzi mwanamke lazima ulie, so na yy ndio analia.
[emoji3][emoji3][emoji3], duh
 
Nilikutanaga na mmoja kisu balaa ile kufika ndani kusaula tu ni mbinde.

Kwenye game sasa yaana analalamika utafikiri kalazimishwa ilifika mahali nikaona ni ujinga nikamwambia sepa!

Wakati unampeleka machinjion ni mpole kama kondoo alienyeshewa sasa ngoja huanze game ni kama wale watoto wanaogopa kuchomwa shindano vile wanavyokabwa na madocta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yes wanapigwa miti hatari yaani kwao ni sunna.
Samani kina dada mlioachwa na Waume zenu Dar ....huku Dodoma Kuna Waarabu Koko noma Sana!
Sio wachoyo na dume akijichanganya tu kwisha habari yake!
Na Kama mwanaume anapendaga ule utamaduni wa Mashariki ya Kati Basi ameumia!
 
Nilikutanaga na mmoja kisu balaa ile kufika ndani kusaula tu ni mbinde.

Kwenye game sasa yaana analalamika utafikiri kalazimishwa ilifika mahali nikaona ni ujinga nikamwambia sepa!

Wakati unampeleka machinjion ni mpole kama kondoo alienyeshewa sasa ngoja huanze game ni kama wale watoto wanaogopa kuchomwa shindano vile wanavyokabwa na madocta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mlipokutanaga' wewe ulikuwa na umri gani!
 
Back
Top Bottom