kibali
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 504
- 425
Hongera mkuu, umeoa mmasai au mwaarusha? Maana hizo ni kabila mbili tofauti ila wanashare mambo mbalimbali na Waarusha wanapenda kujiita maasai....nimeoa mmasai tangu 2012...ni wanawake bora kupata kutoka.
...mke wangu ni mzuri sana wa umbo,sura na tabia.-..hajakeketwa coz ni masai wa mjini.