shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,430
- 3,547
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikoni, povu hili mzee.Wewe ni mshenzi sana katabia kako kananuka hebu kasafishe kamezidi kunuka kama kajalala
Mshenzi tu wewe huna jipyaKulikoni, povu hili mzee.
Au umeshtukiwa kuwa wewe ni dumejike
Unafaida gani mwanaume kuolewa??Mshenzi tu wewe huna jipya
hivi asili ya wamasai ni wapi?sisi tulioishi longido na donyosambu ndo tunajua wadada wa kimasai wakoje asee.maana usiku ilikuw tunanyata tunaingia kwenye boma zao wamelala.unapiga mzigo hd unaondoka ye hata hajajigusa ni km maiti vile.kwaiyo uamue tuu mwenyewe ila nnachoamini wamasai wako vizuri kichwani
HAHAHAHAHHAHAA[emoji23][emoji23]Kuna kipindi nilikuwa natoka na mmasai fulani hivi. Siku ya kwanza kucheza nae mechi, nashangaa ile nimeanza hata dakika 2 sina, naona mtu anaanza kulia. Nikahisi labda namuumiza, so ikabidi nisitishe zoezi kidogo. Huku namshangaa,namuuliza vipi mbona unalia, au nakuumiza?
Ajabu na yeye akawa ananishangaa,then akajibu eti alisikia wenzake wanasema ukifanya mapenzi mwanamke lazima ulie, so na yy ndio analia.
nipe connection mkuuSamani kina dada mlioachwa na Waume zenu Dar ....huku Dodoma Kuna Waarabu Koko noma Sana!
Sio wachoyo na dume akijichanganya tu kwisha habari yake!
Na Kama mwanaume anapendaga ule utamaduni wa Mashariki ya Kati Basi ameumia!
Hapo chacha nikuulize wewe ukiwa na majibu hata mimi nitakuwa nayo .Unafaida gani mwanaume kuolewa??
Sio wotee .
EhYaah sio wote but kiburi ni jadi yao
Ruaha mbuyuni, mtandika mpaka mahenge wamang'ati ndiyo wamejaa hapo, Waambiee vijana wako waache mawengeComments! comments! Wana JF mmeshindikana [emoji23][emoji23][emoji23]
Shambani kwangu kuna wamasai wengi nadhani ni wahamiaji (mpakani morogoro na iringa) sometimes tukiwa vizuri mfukoni tunachukuaga mashine moja ya mshikaji tunajaza mafuta tunaenda huko na washikaji kibao, basi utaona wanavowamezea mate mabinti wa kimasai wanaopita kwenda kuchota maji au kufua mtoni, au wakija kufanya vibarua.
Imefika muda wala mimi siwaombi wanipe kampani kwenda shamba wenyewe wananitafuta kwamba hatuendi shamba? Pamoja na kuwa huwa panakuwa very interesting kwa kuchoma nyama na vilaji nimegundua kinachowavuta pia ni watoto wazuri wa kimasai kule! Maana kuna muda unaez shangaa kambini watu wametoweka hujui wameenda wapi. Wanaume nimewanyooshea mikono [emoji1316]
Ruaha mbuyuni, mtandika mpaka mahenge wamang'ati ndiyo wamejaa hapo, Waambiee vijana wako waache mawenge
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Hahahaha hiyo ni njia yangu mkuu! Huwa napita sana nawaona..Umekuja kuja kwa mbaaali, ingia ingia ndani ya barabara kidogo utapata eneo husika, ni kweli kuna mchanganyiko wa mang’ati na masai tunawatofautisha kwa mavazi yao, kwangu mimi kuna masai halafu kwenye maboma wamebaki wanawake wao tu wanaume wako mijini wanazurura.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee jamaa fala sanamuda wote wanavaa mapazia kama mahujaji wa makka hivyo basi unapaswa uwe mvumilivu
Medali za Olimpiki zitajaa kabatiniJiandae kupata watoto warefuuuu.. halafu wanakimbiaaa..[emoji12][emoji28]
Kiss MeNi nini hiki.?