Waliooa wamasai tupeane changamoto na ubora wao

...nimeoa mmasai tangu 2012...ni wanawake bora kupata kutoka.
...mke wangu ni mzuri sana wa umbo,sura na tabia.-..hajakeketwa coz ni masai wa mjini.
Mkeo ni Molel au Laizer mkuu?
 
...hawana shida..japo tabia ni jambo la MTU sio kabila
Mademu wa kimaasai wote naowajua hata chuo kwetu alikuwa president ni mmasai wako na humbleness sana. Kuna rafiki yangu ndio ana bahati nao ana date mmoja yuko zenji anafanya kazi na mwengine yuko hapa hapa dsm soon nae anaingia masijala yetu πŸ˜‚ ila reviews ni nzuri so far. Wametulia.
 
Mademu wa kimaasai wote naowajua hata chuo kwetu alikuwa president ni mmasai wako na humbleness sana. Kuna rafiki yangu ndio ana bahati nao ana date wawili kwa sasa wako poa sana.
Amewaoa au anawala tuu
 
Hahahaha nyi mtakuwa mlikuwa mnagonga midoli ya kimasai sio watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahahhaha we jamaa fala
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Umewasingizia Mke wangu ni Mmasai,

Kitandani yupo vizuri tu
Ana akili nzuri na watoto wetu wako very bright
Ni msafi sijawai ona wanayosema uchafu wao

Hajakeketwa nikimgusa kunako anakunakokika vema tu

She Is so Beautiful
Bora umeongea mkuu maana hawa jamaa wengine watakuwa kijiweni wakishusha alkasusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…