G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu?
Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu katibu wako mkuu. Ulitakiwa kumvua uongozi.
Unaambiwa Salum naye ana makosa kama ya Kigaila bado unamlea.
Unaambiwa Mrema yupo pale makao makuu kupiga madili hana habari yoyote na mambo ya haki bado unamlea. Yani Mbowe alikuwa amezungukwa na mamluki kiasi kwamba sisi tuliamua tusimuamini tena.
Mbowe bado anafanya kosa lile lile la kujiweka kando huku washikaji zake wakitoa shutuma kila uchwao kwa viongozi. Atapoteza point nyingine soon.
Sijui wanasiasa wetu kwa Tanzania wakoje? Wanawaza pafupi sana. Hivi unayewapokea wale G-55 ndani ya chama chako utakuwa na malengo ya mbali kweli? Au ndiyo kwa vyovyote vile mkono uende kinywani?