Ukweli ni kuwa Mbowe hajajiweka kando bali ndiye muasisi wa G 55 na ndiye anawafadhili katika harakati zao kuibomoa Chadema ili ionekane uongozi mpya umeshindwa ili yeye na genge lake warudi kinyemela. Mbowe alipewa 12 b ili kumzuia Lissu asiwe mwenyekiti au mgombea Urais, baada ya kushindwa jukumu hilo huku akiwa ameshapewa fedhaya kuifanya kazi hiyo ilibdi aje na Plan B ya kuhalalaisha matumizi ya hiyo B 23 ndiyo akaunda hilo Genge 55 na kumkabidhi Mrema kuliongoza yeye akiwa nyuma ya pazia.Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu?
Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu katibu wako mkuu. Ulitakiwa kumvua uongozi.
Unaambiwa Salum naye ana makosa kama ya Kigaila bado unamlea.
Unaambiwa Mrema yupo pale makao makuu kupiga madili hana habari yoyote na mambo ya haki bado unamlea. Yani Mbowe alikuwa amezungukwa na mamluki kiasi kwamba sisi tuliamua tusimuamini tena.
Mbowe bado anafanya kosa lile lile la kujiweka kando huku washikaji zake wakitoa shutuma kila uchwao kwa viongozi. Atapoteza point nyingine soon.
Sijui wanasiasa wetu kwa Tanzania wakoje? Wanawaza pafupi sana. Hivi unayewapokea wale G-55 ndani ya chama chako utakuwa na malengo ya mbali kweli? Au ndiyo kwa vyovyote vile mkono uende kinywani?
ccm wamewakaribishaKama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu?
Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu katibu wako mkuu. Ulitakiwa kumvua uongozi.
Unaambiwa Salum naye ana makosa kama ya Kigaila bado unamlea.
Unaambiwa Mrema yupo pale makao makuu kupiga madili hana habari yoyote na mambo ya haki bado unamlea. Yani Mbowe alikuwa amezungukwa na mamluki kiasi kwamba sisi tuliamua tusimuamini tena.
Mbowe bado anafanya kosa lile lile la kujiweka kando huku washikaji zake wakitoa shutuma kila uchwao kwa viongozi. Atapoteza point nyingine soon.
Sijui wanasiasa wetu kwa Tanzania wakoje? Wanawaza pafupi sana. Hivi unayewapokea wale G-55 ndani ya chama chako utakuwa na malengo ya mbali kweli? Au ndiyo kwa vyovyote vile mkono uende kinywani?
Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu?
Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu katibu wako mkuu. Ulitakiwa kumvua uongozi.
Unaambiwa Salum naye ana makosa kama ya Kigaila bado unamlea.
Unaambiwa Mrema yupo pale makao makuu kupiga madili hana habari yoyote na mambo ya haki bado unamlea. Yani Mbowe alikuwa amezungukwa na mamluki kiasi kwamba sisi tuliamua tusimuamini tena.
Mbowe bado anafanya kosa lile lile la kujiweka kando huku washikaji zake wakitoa shutuma kila uchwao kwa viongozi. Atapoteza point nyingine soon.
Sijui wanasiasa wetu kwa Tanzania wakoje? Wanawaza pafupi sana. Hivi unayewapokea wale G-55 ndani ya chama chako utakuwa na malengo ya mbali kweli? Au ndiyo kwa vyovyote vile mkono uende kinywani?
Mbowe angekuwa rais basi angekuwa mmoja wa marais wapumbavu kabisa ..na kuvunja rekodi ya kuwa rais mkristo mpumbavu....sifa za mbowe zipo waziKama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu?
Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu katibu wako mkuu. Ulitakiwa kumvua uongozi.
Unaambiwa Salum naye ana makosa kama ya Kigaila bado unamlea.
Unaambiwa Mrema yupo pale makao makuu kupiga madili hana habari yoyote na mambo ya haki bado unamlea. Yani Mbowe alikuwa amezungukwa na mamluki kiasi kwamba sisi tuliamua tusimuamini tena.
Mbowe bado anafanya kosa lile lile la kujiweka kando huku washikaji zake wakitoa shutuma kila uchwao kwa viongozi. Atapoteza point nyingine soon.
Sijui wanasiasa wetu kwa Tanzania wakoje? Wanawaza pafupi sana. Hivi unayewapokea wale G-55 ndani ya chama chako utakuwa na malengo ya mbali kweli? Au ndiyo kwa vyovyote vile mkono uende kinywani?
Wakiongozwa na yule chapombe John Mrema wamebunya sana ruzuku ndiyo maana sasa hivi wanabweka ovyo kama mbwa wenye kichaa.Matapeli walikuwa wamejaa makao makuu
Ngumu Mkuu,tutafika tuu!Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu?
Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu katibu wako mkuu. Ulitakiwa kumvua uongozi.
Unaambiwa Salum naye ana makosa kama ya Kigaila bado unamlea.
Unaambiwa Mrema yupo pale makao makuu kupiga madili hana habari yoyote na mambo ya haki bado unamlea. Yani Mbowe alikuwa amezungukwa na mamluki kiasi kwamba sisi tuliamua tusimuamini tena.
Mbowe bado anafanya kosa lile lile la kujiweka kando huku washikaji zake wakitoa shutuma kila uchwao kwa viongozi. Atapoteza point nyingine soon.
Sijui wanasiasa wetu kwa Tanzania wakoje? Wanawaza pafupi sana. Hivi unayewapokea wale G-55 ndani ya chama chako utakuwa na malengo ya mbali kweli? Au ndiyo kwa vyovyote vile mkono uende kinywani?
Yes, walilelewa sana na sasa wameona hakuna fursa ya ulaji......Matapeli walikuwa wamejaa makao makuu
Na. 10 👍Mbowe angekuwa rais basi angekuwa mmoja wa marais wapumbavu kabisa ..na kuvunja rekodi ya kuwa rais mkristo mpumbavu....sifa za mbowe zipo wazi
1)hana akili yoyote ni zuzu
2)fisadi papa
3)ana urafiki na wahuni
4)mpuuzi na upuuzi anao
5)mpumbavu na upumbavu anao
6)kipofu asiye weza kuona mbele
7)mjinga mjinga
8)anachukia uzalendo na wazalendo
9)hana chochote anacho jua kuhusu uongozi bora
10)tapeli wa kisiasa
Siasa kwa Tanzania ni ajira, sio huduma kwa WANANCHI. Sasa mtu maisha yake yote anakula CHADEMA, mara paap kaondolewa hana pa kwenda. Hapo lazima waanzishe vurugu ili waendelee kunufaika na mfumo.Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu?
Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu katibu wako mkuu. Ulitakiwa kumvua uongozi.
Unaambiwa Salum naye ana makosa kama ya Kigaila bado unamlea.
Unaambiwa Mrema yupo pale makao makuu kupiga madili hana habari yoyote na mambo ya haki bado unamlea. Yani Mbowe alikuwa amezungukwa na mamluki kiasi kwamba sisi tuliamua tusimuamini tena.
Mbowe bado anafanya kosa lile lile la kujiweka kando huku washikaji zake wakitoa shutuma kila uchwao kwa viongozi. Atapoteza point nyingine soon.
Sijui wanasiasa wetu kwa Tanzania wakoje? Wanawaza pafupi sana. Hivi unayewapokea wale G-55 ndani ya chama chako utakuwa na malengo ya mbali kweli? Au ndiyo kwa vyovyote vile mkono uende kinywani?
Mbowe kitendo Cha kushindwa uchaguzi tumegundua upande wake mwingine, hakuwa na mzalendo wa kweli wa chadema.Kwake chadema lilikuwa jukwaa la mradi binafsi kwake..Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu?
Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu katibu wako mkuu. Ulitakiwa kumvua uongozi.
Unaambiwa Salum naye ana makosa kama ya Kigaila bado unamlea.
Unaambiwa Mrema yupo pale makao makuu kupiga madili hana habari yoyote na mambo ya haki bado unamlea. Yani Mbowe alikuwa amezungukwa na mamluki kiasi kwamba sisi tuliamua tusimuamini tena.
Mbowe bado anafanya kosa lile lile la kujiweka kando huku washikaji zake wakitoa shutuma kila uchwao kwa viongozi. Atapoteza point nyingine soon.
Sijui wanasiasa wetu kwa Tanzania wakoje? Wanawaza pafupi sana. Hivi unayewapokea wale G-55 ndani ya chama chako utakuwa na malengo ya mbali kweli? Au ndiyo kwa vyovyote vile mkono uende kinywani?
What if kama yeye ndio alikua kubwa la wahuni?Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu?
Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu katibu wako mkuu. Ulitakiwa kumvua uongozi.
Unaambiwa Salum naye ana makosa kama ya Kigaila bado unamlea.
Unaambiwa Mrema yupo pale makao makuu kupiga madili hana habari yoyote na mambo ya haki bado unamlea. Yani Mbowe alikuwa amezungukwa na mamluki kiasi kwamba sisi tuliamua tusimuamini tena.
Mbowe bado anafanya kosa lile lile la kujiweka kando huku washikaji zake wakitoa shutuma kila uchwao kwa viongozi. Atapoteza point nyingine soon.
Sijui wanasiasa wetu kwa Tanzania wakoje? Wanawaza pafupi sana. Hivi unayewapokea wale G-55 ndani ya chama chako utakuwa na malengo ya mbali kweli? Au ndiyo kwa vyovyote vile mkono uende kinywani?
Kwa hiyo hao ndio walikuwa wanamtukana na kumdharilisha? Matusi aliyooga Mwamba kutoka kwenye kundi la Braza K hayajawahi kutokea kwenye siasa za Tanzania.Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu?