Mwambomboli
Member
- Dec 25, 2012
- 46
- 7
Je Marian ni shule ya vipaji ya serikali?
Je kama ni ya binafsi ni wazazi wao waliowapeleka huko kwa pamoja? na tunapata picha gani kwa shule za srikali?
Je hawa walisoma shule zipi za msingi?
View attachment 78886
Wanafunzi walioongoza mtihani wa taifa wa darasa la saba wa mwaka 2012, Janeth Kijazi (kushoto) Justina Kalala (katikati)na Kellen Mudogo wakiwa shule ya sekondari ya wasichana, St Marian Bagamoyo, jana, walikoanza kidato cha kwanza
Kesho ijumaa twendeni NECTA na pale magogoni tukapinge matokeo,lazima yatakuwa yamechakachuliwa tu!View attachment 78886 Wanafunzi walioongoza mtihani wa taifa wa darasa la saba wa mwaka 2012, Janeth Kijazi (kushoto) Justina Kalala (katikati)na Kellen Mudogo wakiwa shule ya sekondari ya wasichana, St Marian Bagamoyo, jana, walikoanza kidato cha kwanza
Hii NECTA ya Dr. Joyce Ndalichako INAPENDELEA. Mbona majina ni yale yale ya Wagalatia!
Shule nzuri,mazingira mazuri, walimu wenye ujuzi na elimu ya kutosha,wanalipwa vizuri,lazima watoe wanafunzi wa ukweli
asha abdallah?
Amina salumu?
Maimuna juma?
hawa ni wale walioshedi vema
Hii NECTA ya Dr. Joyce Ndalichako INAPENDELEA. Mbona majina ni yale yale ya Wagalatia!
Katika umri huo Nadhani Wa-Islam wanatumia muda mwingine kusoma lugha nyingine(Madrasa) hii lugha sio rahisi hivyo kuikariri, lakini wakifika secondari wote wakristu na waislam wanakuwa level moja.Hii NECTA ya Dr. Joyce Ndalichako INAPENDELEA. Mbona majina ni yale yale ya Wagalatia!
Je Marian ni shule ya vipaji ya serikali?
Je kama ni ya binafsi ni wazazi wao waliowapeleka huko kwa pamoja? na tunapata picha gani kwa shule za srikali?
Je hawa walisoma shule zipi za msingi?
Hujaeleweka mantiki ya maswali yako ingawa yanaelekea kuwa na mshiko,