Walioongoza mitihani ya Darasa la saba hawa hapa!

Walioongoza mitihani ya Darasa la saba hawa hapa!

Je Marian ni shule ya vipaji ya serikali?
Je kama ni ya binafsi ni wazazi wao waliowapeleka huko kwa pamoja? na tunapata picha gani kwa shule za srikali?
Je hawa walisoma shule zipi za msingi?

Shule za serikali zipi hizi ambazo viongozi waandamizi wa serikali wanaona haya kupeleka watoto wao kusoma?Ukiona mtu anampa chakula mwanao ale lakini chakula hichohicho hataki mtoto wake ale mtu huyo ni mchawi kaweka sumu.
 
Hao waliangaliziana iweje marafiki watatu waongoze taifa?huu niuhuni na upumbavu hakuna mikoa mingine? Kweli elimu ya sasa!
 
kweli aliyenacho ataongezewa,naamini hapo hakuna hata mmoja aliyetoka St kayumba.wenye nacho wataendelea kuwanacho na wasionavyo wataendelea kudoda
 
View attachment 78886 Wanafunzi walioongoza mtihani wa taifa wa darasa la saba wa mwaka 2012, Janeth Kijazi (kushoto) Justina Kalala (katikati)na Kellen Mudogo wakiwa shule ya sekondari ya wasichana, St Marian Bagamoyo, jana, walikoanza kidato cha kwanza
Kesho ijumaa twendeni NECTA na pale magogoni tukapinge matokeo,lazima yatakuwa yamechakachuliwa tu!
 
Shule nzuri,mazingira mazuri, walimu wenye ujuzi na elimu ya kutosha,wanalipwa vizuri,lazima watoe wanafunzi wa ukweli
 
Lakini wakati wa kusahihisha zinatumika namba mfano P.2345/123; P=Primary, 2345=Namba ya shule na /123 Ni namba ya mwanafunzi; kwahiyo wakati wa kusahihisha huwezi gundua hata ni shule gani, jinsia, kabila wala dini. Halafu tukianza kufikiri negative hata wavulana watasema wasichana wamependelewa mbona hakuna wavulana? Hapo ni uwezo wa watu. Halafu inaonekana hata hizi familia zao wanajua umuhimu wa Elimu kwasababu watakuwa wamepangiwa shule za serikali za vipaji maalum yaani bKILAKALA, MSALATO AU TABORA GIRLS. Lakini wazazi wao wamewapeleka private na Form Four 2016 wakifaulu mtaanza kulalama tena, watu wasonga mbele. "Kama Elimu ni gharama jaribu Ujinga"
 
Mbona ni wakristo watupu.......huu ndo mfumo kristo wanaoukataa akina yakhee
 
Shule nzuri,mazingira mazuri, walimu wenye ujuzi na elimu ya kutosha,wanalipwa vizuri,lazima watoe wanafunzi wa ukweli

Wakristo mnapendelewa sana,utakuta Mwanahamisi na Rashid wamekatwa majina yao na mmewapachika hao.
 
Hivi Sr Vyonne na Hinju bado wapo huko?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Shule ya wahaya TUSIIME kuiba mitihani ni kitu cha kawaida
 
Hii NECTA ya Dr. Joyce Ndalichako INAPENDELEA. Mbona majina ni yale yale ya Wagalatia!
Katika umri huo Nadhani Wa-Islam wanatumia muda mwingine kusoma lugha nyingine(Madrasa) hii lugha sio rahisi hivyo kuikariri, lakini wakifika secondari wote wakristu na waislam wanakuwa level moja.
 
watoto watatu ni marafiki
wametokea shule moja
darasa moja
na herufi za kwanza za majina yao zinarandana ikimaanisha kunauwezekano mkubwa walikuwa wameketi pamoja....(ni kutokana na majina yalivyo)
anyways hongereni vijana endelezeni uwezo wenu uko muendako
 
Je Marian ni shule ya vipaji ya serikali?
Je kama ni ya binafsi ni wazazi wao waliowapeleka huko kwa pamoja? na tunapata picha gani kwa shule za srikali?
Je hawa walisoma shule zipi za msingi?

Hujaeleweka mantiki ya maswali yako ingawa yanaelekea kuwa na mshiko,
 
Hujaeleweka mantiki ya maswali yako ingawa yanaelekea kuwa na mshiko,



Nadhani hukuelewa mstari wa 2, maana yangu ni kwamba inawezekana hawa watoto wametoka family za vigogo/matajiri ambao wanaliwasomesha shule nzuri sio za kwetu ambazo watoto 70 wachangia kitabu 1 cha sayansi. Walalahoi hawawezi kuwa na uwezo wa kupeleka watoto Marian kwa pamoja kama ilivyotokea kwa hao....
 
Back
Top Bottom