Mwambomboli
Member
- Dec 25, 2012
- 46
- 7
Je Marian ni shule ya vipaji ya serikali?
Je kama ni ya binafsi ni wazazi wao waliowapeleka huko kwa pamoja? na tunapata picha gani kwa shule za srikali?
Je hawa walisoma shule zipi za msingi?
Shule za serikali zipi hizi ambazo viongozi waandamizi wa serikali wanaona haya kupeleka watoto wao kusoma?Ukiona mtu anampa chakula mwanao ale lakini chakula hichohicho hataki mtoto wake ale mtu huyo ni mchawi kaweka sumu.