Inawezekana tu ktk nchi ambayo tuna viongozi wenye uwezo mdogo wa kiufahamu na kutoa maamuzi, hasa km huyu naibu wazir wa elim ambaye anajua kuwa tanzania imetokana na muungano wa tanganyika na zimbabwe anaweza akaruhusu hata div ziro kuendelea na masomo ya advance, km alivyofanya kwa darasa la saba baada kuona wamefeli sana wakashusha kiwango cha ufaulu toka 100 mpaka 50 ili ionekane kiwango cha ufaulu kimepanda, matokeo yake tumeingia kwenye kitabu cha maajabu ya dunia kwa kuwa nchi ya kwanza kuwa na wanafunzi waliofaulu sekondari bila kujua kusoma na kuandika