Waliopata div 4 za mwanzo 26 na 27 kwenda a-level

Waliopata div 4 za mwanzo 26 na 27 kwenda a-level

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
280
Reaction score
26
Wanajamii kuna maneno yanasikika huku uraiani eti wale waliopata div 4 za 26 na 27 na wana C mbili huenda serikali ikawapeleka advance sababu ya watu waliofaulu ni wachache.eti hili linaendana na ukweli jamani?
 
nchi yetu imejaa ujinga kweli. sasa wenye four wanaenda a level ambayo walimu huko nao ni wa uhaba mkubwa na vifaa vya kusomea shida. tunatengeneza taifa gani?
kwa hiyo safari hii kozi za ualimu wataenda wenye division four ya 30?
 
Kigezo cha kwanza kwenda a_level ni C tatu kwny matokeo yote ya muhsika then Balancing ya combination inafuata na kuangalia ufaulu ktk masomo husika! Hapa tunapoelekea ka ni kwel ni kujaza tu mashule kuwa ni wanafunzi kumbe ni mifano tu ya wanafunz! Serikali haina budi kulichunguza jambo hili kwa umakin mkubwa make tunapoelekea ni kubaya zaidi ya tutokako kielimu ko lazima kuwa makin
 
Teh teh teh!kufanya mtihani wa form six bila credit tatu!taifa la wajinga!
 
nchi yetu imejaa ujinga kweli. sasa wenye four wanaenda a level ambayo walimu huko nao ni wa uhaba mkubwa na vifaa vya kusomea shida. tunatengeneza taifa gani?
kwa hiyo safari hii kozi za ualimu wataenda wenye division four ya 30?

duh jf kila ki2 ni kweli 2elezane walimu wataenda waliopata 4ya ngapi?33 au
 
Naiangalia Tz ya miaka10 mbele nnayoyaona ni maajabu ya dunia 2.
 
Haiwezekani. Hata waliopata div 1 hadi 3. Nusu watapata zero form six
 
Inawezekana tu ktk nchi ambayo tuna viongozi wenye uwezo mdogo wa kiufahamu na kutoa maamuzi, hasa km huyu naibu wazir wa elim ambaye anajua kuwa tanzania imetokana na muungano wa tanganyika na zimbabwe anaweza akaruhusu hata div ziro kuendelea na masomo ya advance, km alivyofanya kwa darasa la saba baada kuona wamefeli sana wakashusha kiwango cha ufaulu toka 100 mpaka 50 ili ionekane kiwango cha ufaulu kimepanda, matokeo yake tumeingia kwenye kitabu cha maajabu ya dunia kwa kuwa nchi ya kwanza kuwa na wanafunzi waliofaulu sekondari bila kujua kusoma na kuandika
 
Wanajamii kuna maneno yanasikika huku uraiani eti wale waliopata div 4 za 26 na 27 na wana C mbili huenda serikali ikawapeleka advance sababu ya watu waliofaulu ni wachache.eti hili linaendana na ukweli jamani?

alafu hao ndo wanakuja kuwa walimu wa watoto wenu?nji hii kwisha habari yake!!!!!!mtajuuuuuuuta kumchagua
 
huo ni uongo m2pu b'se mulugo alishasema kuwa waliopata div 26&27 wataenda ualimu af waliopata div 1,2$3 wataenda advance,kwhyo ucwape ma2main kuwa advance ni kwepes hv
 
Kwa kwa stlye hizi tutunda tume ili kujua mass failure ya form siz imekuaje.
 
Ngoja nicheke walau niongeze kuishi ..kwi kwi kwi! ahaaa! kha kha kha! ..na mie naenda kujiandikisha pale Ihungo.
 
msijipe moyo kuresit kunaruhusiwa afu nyie bado wadogo jiandikishine muanze kitabu mapema
 
Hata darasa la saba alama D walienda shule za kata!! Kwa hiyo 2016 tusikie kishindo kingine cha kufeli kidato cha nne, tena itakuwa 80% failure!! Sasa hawa wa div 4 serikali ijiandae kimkakati 2015!!! Ha ha ha!! Vyuoni hakutakuwa na wanafunzi!! Expansion of education beyeond bourders!!! Bila maandalizi ya msingi!!
 
Back
Top Bottom