Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nchi yetu imejaa ujinga kweli. sasa wenye four wanaenda a level ambayo walimu huko nao ni wa uhaba mkubwa na vifaa vya kusomea shida. tunatengeneza taifa gani?
kwa hiyo safari hii kozi za ualimu wataenda wenye division four ya 30?
Wanajamii kuna maneno yanasikika huku uraiani eti wale waliopata div 4 za 26 na 27 na wana C mbili huenda serikali ikawapeleka advance sababu ya watu waliofaulu ni wachache.eti hili linaendana na ukweli jamani?
Wewe una ngapi? 26 au 27?