Waliopata Ubunge Bila kupingwa(kupitia uchaguzi) wachukizwa na Mkakati WA chadema kuelekea 2025

Waliopata Ubunge Bila kupingwa(kupitia uchaguzi) wachukizwa na Mkakati WA chadema kuelekea 2025

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Makada wa CCM wasio na ushawisho Kwa wananchi wameanza kuona Giza mbele ya siasa baada ya chadema kurejea Kwa kishindo.

Wengi wametokea kuwa washauri WA chadema wakitaka chadema isikubali maridhiano na ccm badala yake chadema uendelee na kupambana na dola.

Wanaelewa kwamba katika dola kuna uchafuzi na wao wanaweza kupenya lakini katika maridhiano kuna uchaguzi wa Haki ambao wao nivigumu kupenya.

Chadema msikibali kubebwa na watu wanapenda kubebwa na dola, changeni karata Haki ya uchaguzi itoke kwenye Sanduku la Kura. Mkifanya mchezo 2025 watapita tena Bila kupingwa
 
Back
Top Bottom