Tetesi: GE2025 Waliopenya kamati za CCM wilaya na walioliwa vichwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Waliomkata january makamba truly have got balls
 
Ni Tetesi tu kwamba January Makamba chalii

Bado tunafuatilia

🇹🇿

MAKAMBA AMEYATAKA MWENYEWE



Kama ni kweli, sitashangaa. Kitendo alichofanyiwa mshindani wake ni cha kihuni sana.

Mtu mwenye wasifu wa ngazi ya mgombea urais kama Januari hakupaswa kufanya ujinga ule.

Ni aibu kubwa na dalili ya ulevi wa madaraka. Tabia ya hovyo kabia
 
Kongwa vipi?
 
Mwambie huyo nyumbu
 
Mashoga ndo masapota wa ccm na muliwaalika kibao kwenye mkutano mkuu
 
Kuna watu hutowaona kwenye hiyo list ila ukweli ni kwamba nao WANAKATWA, zingatia neno WANAKATWA. tena hawa WANAKATWA haswa na si tetesi.
 
Kama ni kweli, sitashangaa. Kitendo alichofanyowa mshindani wake ni cha kihuni sana. Mtu mwenye wasifu wa ngazi ya mgombea urais kama Januari hakupaswa kufanya ujinga ule. Ni aibu kubwa na dalili ya ulevi wa madaraka. Tabia ya hovyo kabusa
Acha unafiki unashangaa Nini kama boss wako kamfunga mpinzani wake Ili apite kiurahisi
 
Acha unafiki unashangaa Nini kama boss wako kamfunga mpinzani wake Ili apite kiurahisi


Samia anafunga wapinzani wake ili apite kirahisi kama ambavyo Makamba anafanya kuwahujunu wapinzani wake.

Maovu mawili hayatakasani. Yaani, huwezi kusema kuwa kwa vile Juma aliiba na hakushtakiwa badi na mimi nikiiba nisishtakiwe. Sheria inabaki pale pale.

Kwa hiyo, kosa la Makamba bado halikubaliki hata kama bosi wake analifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…