Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,975
- 4,082
Samia atakubali kweli?Mwenyewe nitafurahi kama Makambako atakatwa jina
Samia atakubali kweli?Mwenyewe nitafurahi kama Makambako atakatwa jina
Kwanini?Huyo namba 4 kwa waliokatwa ni mjinga anayetembea
Huko majini kuna vijiji na watu wanaishi huko? Kweli Waha siyo watu wa mchezo mchezo4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
Msigwa asubiri vinyeo vya ukuu wa wilaya. Au ulitaka kuandika nn mkuu?Sasahivi watamdangan
ya kunavyeo vingi kama ujuuu wa wilaya au mkoa
Ccm ukikosa ubunge unaweza kupata mnofu mwingine.
Alitoka Chadema lakini ndo akawa namba moja kuwananga Chadema Sasa ni wakati wa kuheshimiana.Tumsalimie kidogo huyu poti...Hela ya visungura ruksa kumtumia! Kuanzia 1000View attachment 3403612 Chapombe karibu mtaani!
Mkuu @tumaininiel, Samia atamwacha kweli JM?Wema wanaishi wabaya wmekufa
Pia aliwa kuwa naibu katibu mkuu tamisemi enzi za jkAlishawahi kuwa mbunge kwani?
MI NASHANGAA ETI JANUARI AKATWE KWELI?HAIJUI BUMBULI YA WASAMBAA VIZURI NA MAMA HAWEZI KUKUBALIUna uhakika na January hayupo?
Anasubiri vinini?Msigwa asubiri vinyeo vya ukuu wa wilaya. Au ulitaka kuandika nn mkuu?
Daaa 2005-2015 mbunge wa jimbo la Siha na waziri wa TAMISEMI kwa kipindi chote hichoAlishawahi kuwa mbunge kwani?
Hatoboi yule kifimbocheza....Kongwa vipi?
na baba levo jeKigoma Mjini ni Baruan Muhuza tu
Inasikitisha kwa kweliWema wanaishi wabaya wmekufa
Sawa sawa4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini