Huyu ni Waziri wa mambo ya Ndani ajayeMakonda for new Prime minister of URT (It's only my dream don't stone me)
Yes Mpina ageukie kwenye chama pinzani naamini raia watampa kuraACT wazalendo na CHAUMMA kaeni mkao wa kupokea wanachama wapya watakaokatwa na ccm chukueni hao kina mpina watawafaa
Tunapenda comedykufanya U comed? kule siha alisha kuwa Mbunge miaka 10 na mbona hakuna cha maana pale? itawachukua miaka 500 mje kujua kwamba wabunge hawa wanasaka ajira na si vinginevyo.
KabisaHuyo namba 4 kwa waliokatwa ni mjinga anayetembea
Baadhi ya vijana wachache hamjielewi,ndio maana tunafanya usajili kwa umakini sana msije kutuharibua nchi kwa kutojua historia tulipotoka na tuendako- hamna uchungu wa nchi sabu jasho hamkulitoa- mmekuta vimeiva hamna uchungu navyoWe uliye muhenga na wahenga wenzako ndo mumetuharibia nchi. Kwendraaa na mawazo yako ya kijima.
list haiongezeki,, usianzishe uzi kama huna chanzo cha taarifaHawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Pata picha huyo anaweza kuwa msomi mkubwa, je wasiosoma ambao ndio wengi watakuwa wanafikira za namna gani?kufanya U comed? kule siha alisha kuwa Mbunge miaka 10 na mbona hakuna cha maana pale? itawachukua miaka 500 mje kujua kwamba wabunge hawa wanasaka ajira na si vinginevyo.
Vyeo vya ukuu wa wilaya na ukurugenzi vimejazwa na vijana wa kizanzibari, na wengi kazi hawajui.Vyeo
Vyeo vya ukuu wa wilaya vilishajazwa
Alileta ushoga na wakakukamata wewe kukufira?Jinga wewe!Roho ya kweli kwa mleta ushoga,na haini, CCM imeijenga nchi hii kwa miongo kadhaa kwa damu na jasho wakati watu wanatembea kwa miguu kupigania uhuru,kukengannchi na kiweka misingi Bora chini ya CCMLeo atokee mpumbavu atetereshe amani achekeqe
we,aliyecheka na aliyechekewa wote fyekelea mbali,Mungu mkubwa Mwanri huyo bungeni AI,encyclopedia,ChartGpd
Wabunge hawana kazi yyte labda kuropoka tu huko bungeni ila kazi ya serikali inafanywa kupitia wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzikufanya U comed? kule siha alisha kuwa Mbunge miaka 10 na mbona hakuna cha maana pale? itawachukua miaka 500 mje kujua kwamba wabunge hawa wanasaka ajira na si vinginevyo.
NaibuNdiyo, kipindi cha awamu ya nne. Alikuwa pia Waziri wa TAMISEMI
Sio Mbunge tu mpaka waziri kwa Muda MrefuAlishawahi kuwa mbunge kwani?