Tetesi: GE2025 Waliopenya kamati za CCM wilaya na walioliwa vichwa

Tetesi: GE2025 Waliopenya kamati za CCM wilaya na walioliwa vichwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni


Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro

Tunafuatilia na majimbo mengine
Peter nilijua tu hawezi shindana na jesca msambatavangu
 
Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni


Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro

Tunafuatilia na majimbo mengine
Vp jamani hiki chuma kibajaji habari zake zipoje,kapenya
 
Kamati ya siasa ya wilaya kwa Sasa sio maamuzi ya mwisho. Ingekuwa hivyo basi kusingekuwa na Haja ya majina kujadiliwa CC.

Hayo yalifahamika mapema ndio maana mchezo utamalizwa CC.
 
Hyo lazima apite kwani alikuwa anamsema bi mkubwa

Ova
Huyu ni mbunge haswa,nilimkubali alipozima jaribio la baadhi ya wabunge wachumia tumbo kushukuru kifo Cha mwendazake kama njia ya kujipendekeza,akawaambia waache unafiki Ina maana aliyepo naye akipita akija mwingine watamnanga tena aliyerithiwa,kwanza hapo nikaona mtera Kuna chuma,kingine ni hiki kilichomshukuru mh Rais kwa kukirihusu kutia sign kwenye pesa- nalo ni jiwe
 
Ole sendeka kauli yake dhidi ya Lisu imemponza,CCM hawataki watu wenye roho ya kweli na huruma Kwa wapinzani
Ndiyo maana ata awamtaki Mama Samia maana alimtembelea Lissu akiwa Kenya na Ubelgiji pia akalipwa stahiki zake zote alizokua amenyimwa na JPM.
 
Anayembeza Agrey mwandry hajui lolote, huyu jamaa alipagania wilaya ya Hai kugawanywa ziwe mbili, ndo ikazaliwa wilaya ya Siha
Sanya juu kwa sasa kuna maendeleo kiasi chake, hadi vijijini huko kishisha
Siha kumekucha Kuna shule quality Sana ya A'level huko kijijini. Mwanri akiwa Naibu Waziri TAMISEMI alipeleka walimu wa maana na kujenga majengo ya maana
 
Ukimtema mwezi wa kwanza ukamuacha Bao la mkono bado hujafanya kitu.
Kuna connection kubwa sana Kati ya Hawa
Mwezi wa kwanza
Bao la mkono
Msoga mdogo
Msomali kilimo
Yule wa Dodoma mji mtoto wa MC
Amini nakwambia miaka 10-15 ijayo tutaongozwa na mmoja wapo uzuri ni kwamba back up wanayo
 
Naona ndugu Kigogo kapitishwa na kamati, kwahiyo uwezekano wa yeye kuingia bungeni unakua mkubwa maana mwaka huu kura za wajumbe zitaamua na sio maamuzi ya mwenyekiti kama alivyofanyiwa 2020 kukatwana kuwekwa aliekua ameshika namba 3.
 
Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni


Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro

Tunafuatilia na majimbo mengine
Duh! Makamba!
 
Back
Top Bottom