Tetesi: GE2025 Waliopenya kamati za CCM wilaya na walioliwa vichwa

Tetesi: GE2025 Waliopenya kamati za CCM wilaya na walioliwa vichwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Vyeo vya ukuu wa wilaya na ukurugenzi vimejazwa na vijana wa kizanzibari, na wengi kazi hawajui.
Daaaah hii nchi uzalendo umepotea sasa ni kama tunauzwa flani ivi uku wakubwa na Dola wakibariki
 
Kifaa unachotumia kuikashifu bila sera za mawasiliano zinazosimamiwa na CCM sidhani ungeweza kupata nafasi ya kuandika humu,mawasiliano Kila Kona,minara imejaa kazi ya CCM,unaweza Kuta umezaliwa 2010 pumzika
Kuna mambo yanafanyika kwa maslahi ya kibiashara na kutanua soko la biashara kwa maslahi ya mfanya biashara ili kujiongezea pato na faida na ni lazima iwe hivyo,wala sio kuboresha huduma na mahitaji kwa wananchi, ndio maana kupitia hivyo vifaa unavyo viongelea kuna mitozo ya kutosha na makato yasiyo na uhalisia ili waendelee kupata faida , tumia kichwa vizuri kenge wewe uchawa unawadumaza sana akili na fikra hamfikirii nje ya box kabisaaa.
 
Waliomkata january makamba truly have got balls
Makamba hana tena backup system, familia imeloose grip baada ya matukio machache ya nyuma yaliyotokea

Ni muda wa kukaa pembeni asubirie nafasi za teuzi
 
kufanya U comed? kule siha alisha kuwa Mbunge miaka 10 na mbona hakuna cha maana pale? itawachukua miaka 500 mje kujua kwamba wabunge hawa wanasaka ajira na si vinginevyo.
Kwani kazi ya mbunge ni nini Tanzania zaidi ya kuisifia ccm? Ni bora aingie kufanya comedy tu.
 
Roho ya kweli kwa mleta ushoga,na haini, CCM imeijenga nchi hii kwa miongo kadhaa kwa damu na jasho wakati watu wanatembea kwa miguu kupigania uhuru,kukengannchi na kiweka misingi Bora chini ya CCMLeo atokee mpumbavu atetereshe amani achekeqe

we,aliyecheka na aliyechekewa wote fyekelea mbali,Mungu mkubwa Mwanri huyo bungeni AI,encyclopedia,ChartGpd
Mashoga wengi ni waislam tena mashoga haswaa, mikoa yote ya pwani ndio wamejaa mashoga wa kiislam sasa mleta ushoga kiveep yani wakati mashoga wenu mnaswali nao misikitini na wote kwa pamoja mnawasubira mabikra 72.
 
Relax gentleman, calm down,
mambo bado na mambo mazuri yanakuja.

Lakini pia, usinifananishe na uovu tafadhali ndugu mdau 🐒
Huyu Tlaatlaah ambaye kiitikadi anafanana sana na yule mkerewe anaye kalamikiwa kuteka Amepita? Au amesha katwa?
 
Mwenye updates za majimbo ya shinyanga mjini na sengerema tafadhari.
 
Makamba hana tena backup system, familia imeloose grip baada ya matukio machache ya nyuma yaliyotokea

Ni muda wa kukaa pembeni asubirie nafasi za teuzi
Imekuaje tena wakati his senior ni well known life time chawa wa mshika rimoti?
 
Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni


Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro

Tunafuatilia na majimbo mengine
Nimeona video ya waitara analia baada ya kuliwa kichwa 😂
 
1. Ukifika Siha utafuta hii kauli.

2. Masai ndo miyeyusho sasa hv anamwaga pesa kijiji kwa kijiji. Mzee wangu kijiji cha Narumu kaambulia 200,000.
Anayembeza Agrey mwandry hajui lolote, huyu jamaa alipagania wilaya ya Hai kugawanywa ziwe mbili, ndo ikazaliwa wilaya ya Siha
Sanya juu kwa sasa kuna maendeleo kiasi chake, hadi vijijini huko kishisha
 
Anayembeza Agrey mwandry hajui lolote, huyu jamaa alipagania wilaya ya Hai kugawanywa ziwe mbili, ndo ikazaliwa wilaya ya Siha
Sanya juu kwa sasa kuna maendeleo kiasi chake, hadi vijijini huko kishisha
Nilipost post yangu tarehe 29/ 06 /2025 kuhusu huyu mwamba zaidi ya AI,naona Mungu kanisikia,hiki ni chuma ni encyclopedia haswa,mwamba umerudi
 
Back
Top Bottom