FUatilia historia vizuri. Huyo ni kama Ester Bulaya, kabla ya kuhamia chadema walikuwa CCM.Alitoka Chadema lakini ndo akawa namba moja kuwananga Chadema Sasa ni wakati wa kuheshimiana.
FUatilia historia vizuri. Huyo ni kama Ester Bulaya, kabla ya kuhamia chadema walikuwa CCM.Alitoka Chadema lakini ndo akawa namba moja kuwananga Chadema Sasa ni wakati wa kuheshimiana.
Upo Tayana-wog ?😂Chawa ,ujinga kabisa
Juma Homera aliachia mkoa kizembe! Saivi ataomba poo 😂Pole Homera
Huyo alichofanywa na wajumbe hana hamu hata ya kugombea ujumbe wa mtaaView attachment 3403875
Huyu wajumbe hawajafanya yao kweli tena mwaka huu?
Hii ni nafasi ya taaluma sio ya siasa, hana elimu ya kupata hiyo nafasi ya utendaji kata. Ni ukuu wa wilaya tu atapewaU tendaji kata unamtosha
Ni kama tumeshakubali kuwa wao ndio watakuwa wabunge, au ni kama tumeshakubali kuwa uchaguzi utafanyikaTwists and turns, ccm wanajua wapi pa kutukamata...sad sana, sasa ni ushabiki kama simba vs yanga tu.
Stone you is must because jf is railway stationMakonda for new Prime minister of URT (It's only my dream don't stone me)
Utabiri wa jamaa ni kwa TanzaniaAnakuwaje PM wakati 🇬🇧 na 🇺🇸 amepigwa pin?
Upo hili halina shakaKwani October kuna Uchaguzi?
Maskini Peter
Nipo nipo nafuatilia mnyukano huu naona kumekuchaUpo Tayana-wog ?😂
Inaonekana mnawashwawashwa....Tuliza mkia
Lissu mwenyewe kwa sasa atakuwa anafuatilia mambo ya CCM. Kukikwepa hiki chama ni ngumu. Wapinzani ndo wako bize kutupa updates na kutoa maoni yao kuhusu kinachoendelea CCM.Komenti zenu zinaonyesha mmemsaliti Lissu. NRNE haizungumzwi tena
Hajui kizungu awe waziri wa mambo ya nje? Labda waziri wa mambo ya ndani au ulinzi au ardhiHuyu ni Waziri wa mambo ya Ndani ajaye
Kuna mkurugenzi halmashauri x ni mzenji, duuuh ni noma!! Ofsin ni km anaingia kusain tu, majukum yake wanapiga wanaokaimishwa yeye ni nje na ofisi kila wakati. Vituo vilivyo chini yake km shule, zahanati n.k hajawahi hata kuzitembelea.Vyeo vya ukuu wa wilaya na ukurugenzi vimejazwa na vijana wa kizanzibari, na wengi kazi hawajui.
Means kuna reformsUpo hili halina shaka
Unakuwaje PM wakati kuna maeneo mengine duniani huruhusiwi?Utabiri wa jamaa ni kwa Tanzania