komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,523
Tanzania hii nani hatafuti ulaji kasoro opposition wachache ?Itawachukua miaka 900 mje kujua kwamba hata yesu akishuka aje kuwa mbunge bado haitasaidia kitu, Huu ujinga utawatafuna sana, endeleeni kuwashabikia watu wanao enda kutaguta ulaji.
Maiti, maiti, maiti, maiti mu Barabara kubatanzania itakuwa mingi papaaAcha kuiombea nchi mabalaa.
hatari sana. Usipo sifia tu, huna chako.Ole sendeka kauli yake dhidi ya Lisu imemponza,CCM hawataki watu wenye roho ya kweli na huruma Kwa wapinzani
Vipi mkuu huko ndugai si njia nyeupe tuKongwa vipi?
Una uhakika na January hayupo?Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Alijifanya Mhuni...watu wamemla kichwa....kwani Babake anasemaje??? Ahh hahaha...Kama ni kweli, sitashangaa. Kitendo alichofanyiwa mshindani wake ni cha kihuni sana.
Mtu mwenye wasifu wa ngazi ya mgombea urais kama Januari hakupaswa kufanya ujinga ule.
Ni aibu kubwa na dalili ya ulevi wa madaraka. Tabia ya hovyo kabia
Hii camera iliotumika hapa ni aina ganiTumsalimie kidogo huyu poti...Hela ya visungura ruksa kumtumia! Kuanzia 1000View attachment 3403612 Chapombe karibu mtaani!
Hii camera inaitwa HD-Uraiani Jina lako likiwa limechinjwa! Ndio camera inakutoa clear! Like this man!Hii camera iliotumika hapa ni aina gani
SS mwijaku na babalevo nani ana afadhali?Nimefurah hapo kwa mwijaku...
Watu wanadhani uongozi ni sawa na kufanya umbea.!
Halafu unamuacha NapeWaliomkata january makamba truly have got balls
Wema wanaishi wabaya wmekufa🤭 January Makamba?
Tena naibu waziri tamisemina wakati fulani elimu enzi za JakayaAlishawahi kuwa mbunge kwani?
Je Nape Nnauye ndiye waziri mkuu ajaye au George Simbachawene?Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Alichukua form?Vipi kuhusu Askofu Gwajima?
We uliye muhenga na wahenga wenzako ndo mumetuharibia nchi. Kwendraaa na mawazo yako ya kijima.Kifaa unachotumia kuikashifu bila sera za mawasiliano zinazosimamiwa na CCM sidhani ungeweza kupata nafasi ya kuandika humu,mawasiliano Kila Kona,minara imejaa kazi ya CCM,unaweza Kuta umezaliwa 2010 pumzika