Tetesi: GE2025 Waliopenya kamati za CCM wilaya na walioliwa vichwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hata kwa hao waliopita... Sistimuu iwapunguze tuu wajinga ni wengi sana
 
Watu wa mikoani tuamke, haiwezekani wauza uchi wa Dar inapofika kipindi cha uchaguzi wanakimbilia mikoani kuchukua fomu za uongozi kisha wanarudi Dar kuishi,tuwakatae asubuhi na mapema.
Wachukue fomu hukohuko Dar kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…