We are being watched. The gvt has a secret system,a machine to spy on you in every hour of every day. I designed the machine to detect acts of terror but it ceased everthing, violence and crimes that involve ordinary people, the gvt consider these people irrelevant, we dont. Hunted by authorities, we work in secret, you will never find us, but victims or perpetuator, if your number is up, we will find you.Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Msigwa amepata haki yake. Labda asubiri ukuu wa wilaya.
1. Ukifika Siha utafuta hii kauli.kufanya U comed? kule siha alisha kuwa Mbunge miaka 10 na mbona hakuna cha maana pale? itawachukua miaka 500 mje kujua kwamba wabunge hawa wanasaka ajira na si vinginevyo.
Na naibu waziri tamisemiAlishawahi kuwa mbunge kwani?
Nani huyu anayeonekana kama kapiga ulanzi wa alfajiri?
Wewe uko kama mimiNatamani sana aggrey mwanry arudi bungeni.
Mama amempiga kofi mtoto na chakula hajamfichia 🤣🤣Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Makamba huyuhuyu wamekula kichwa mapema tu..Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Hakuchukua Form.Vipi kuhusu Askofu Gwajima?
vipi gwajima?Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Mpaka uwaziri bidada hukumbuki.Alishawahi kuwa mbunge kwani?
Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Tuliza mkei hujui nisemalouna uzuzu sana, ulichangamke kiuchumi au? Taifa limejaa wapumbavu sana hili Taifa.
Si kweli walupata kura sawaa magu akamwambia mwanri atulie atampa kazi nyingineeLile jimbo kuna ukabila, baina ya Wachagga na Wamasai+ Wameru, na ushindani ni mkubwa kwelikweli. 2020, Dr Mollel alimzidi Mwanri kwa kura moja tu.
We comedy zake hukuzielewa? Hasa alipokuwaga sijui naibu waziri wa nini kwenye majibu bungeni😀😀kufanya U comed? kule siha alisha kuwa Mbunge miaka 10 na mbona hakuna cha maana pale? itawachukua miaka 500 mje kujua kwamba wabunge hawa wanasaka ajira na si vinginevyo.