Walioruhusu picha hii itumike hawakuwa wajinga

Je iko wapi picha ya Muddy mamia ya miaka baada ya Yesu nafikiri mambo yalikuwa yameadvance zaidi ni rahisi zaidi kuwa na picha yake

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Katafte Maana ya picha ya madonna of the rocks

Au mtafte mchoraji anaitwa botticelli utaelewa mengi Sana
 
Mkuu elewa kiswahili,

Yesu amesema mimi ndie Mungu niabudini mimi tu,

Staki kujua kasema mimi nipo kabla ya ibrahimu na pia akisema hivyo bado andiko ni finyu kama maandiko mengine
What about this?

^siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako^ Kutoka 20:10

Yesu alisema: ^Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato pia.^ Marko 2:28.

Tumia logic kuhusianisha aya hizo mbili, then niambie, if:

A = B and B = C, then A = C
 
Wakatoliki ndo wanatumia hyo , wao ndo Wana majibu kulingana na impression ya picha , Sisi wasabato tunazo zetu pia , sio picha halisi ya Yesu Ila zinatoa elimu fulan ya picha kuhusu huyo Yesu , na ni picha za kuchora computerized
Nyinyi mna picha ya Hellen G. White
 
Kwa maarifa na taarifa wanazomiliki Kanisa katoliki pale Vatican city Kwa mantiki ya maelezo yako basi hata picha au taswira ya Mtume Muhamad(Saw) Kwa wenzetu ndugu zetu sana Waislamu,wakatoliki wanayo.
You guys achaneni na hizi dini za kimkakati, hazina maana yeyote kwetu waafrika
 
Waafrika hatuna Identity yetu, kila kitu tumekopa
Hatujakopa hizi dini, tumelazimishwa kuabudu.......na mababu zetu walikuwa wanachinjwa na Waarab wakikataa kufuata imani yao.....hujasoma historia Mkuu?
 
Wakatoliki tumetulia mnawashwawashwa. Taswira hiyo nani kasema ndio halisi ya Yesu? Wazungu wamemweka katika impression yao, ukienda Japan na Korea utakuta picha tofauti, na ata Tanzania kila kanisa utakuta ni tofauti. Lengo ni spark imagination. Hatujawahi kusema huyo ndio Yesu ni viherehere vyenu tu. Kudhania vitu msivojua kuhusu ukatoliki.
 
Jibu zuri sana hili. Safi kabisaaaaa!
 
Sir, are you on drugs influence???
Unafahamu imani yangu?
 
Sir, are you on drugs influence???
Unafahamu imani yangu?
Naifahamu imani yako. Ni pride and rebellion. Alafu unatakiwa kuandika 'are you under the influence of drugs?' hicho ulichoandika bado. Tuendelee na kiswahili.
 
Naifahamu imani yako. Ni pride and rebellion. Alafu unatakiwa kuandika 'are you under the influence of drugs?' hicho ulichoandika bado. Tuendelee na kiswahili.
Ungekua na akili japo kidogo ungeelewa kwamba Hakuna mbabe wa lugha, kila siku twajifunza. Maana hata wewe pia umeandika boko.
Rebellion na Pride hazijawahi kua imani kamwe
 
Ungekua na akili japo kidogo ungeelewa kwamba Hakuna mbabe wa lugha, kila siku twajifunza. Maana hata wewe pia umeandika boko.
Rebellion na Pride hazijawahi kua imani kamwe
Uelewa mdogo sana. Mi nimekupachika ata hiyo imekushinda? Comprehension imekushinda kuipick? Sarcasm ya hiyo sentensi kama umeshindwa kuielewa napoteza muda sana. Dah. Kwani wanavosema "love is my religion" maana yake nini? Tusipotezeane muda kumbe levele yako ya uelewa ni ndogo sana. Ndio maana wepesi kukashifu kitu. Kumbe kichwani 0
 
Acha kushobokea wanaume. Hoja katiba ya Tanzania imekataza ushoga. We kama huna hoja piga kimya.
Wewe utakua ni Ex wangu maana ndio anapenda kunisakama😅
Sio wewe kweli
 
Acha kushobokea wanaume. Hoja katiba ya Tanzania imekataza ushoga. We kama huna hoja piga kimya.
😅😅😅 Mwana una ID nyingi nishakujua, sina haja ya kubishana nawe tena.
 
Mkuu nimekuelewa lakini kama yes hakuwahi kuwepo kwanini wakristo wanatumia jina hilo kutoa mapepo na mambo mbalimbali na kufanikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…