Walioruhusu picha hii itumike hawakuwa wajinga

Lete mifano miwili ya scientific approaches au methods za huyo mwarabu ambazo zipo applicable leo, sio unaleta blah blah tuu. Weka mifano.
 
Naona kama mwabishania upuuzi tu! Hayo mambo ya wazungu waachieni na tamaduni zao,mkijua dunia imejaa hadaa mtaacha haya mabishano yasiyo tija
Hata wewe umeshindwa kuaacha tamaduni za wazungu coz hapo ulipo unavaa mazi ya kizungu ambayo ni utamaduni wao.
 
Hiyo zamani we ulikuwepo mpaka ujue walikuwa rafu? Km huna cha kuandika kaa kimya
 
Umetumia nguvu nyingi sana kuelezea.
Obviously doubtful.
 
Kwa maarifa na taarifa wanazomiliki Kanisa katoliki pale Vatican city Kwa mantiki ya maelezo yako basi hata picha au taswira ya Mtume Muhamad(Saw) Kwa wenzetu ndugu zetu sana Waislamu,wakatoliki wanayo.
 
Uko vizuri. Ila Sasa wavimba macho watakuelewa?
 
Hiyo zamani we ulikuwepo mpaka ujue walikuwa rafu? Km huna cha kuandika kaa kimya
Historia inatuambia hayo, sio lazima hadi uwepo ndio ufahamu jambo Mkuu, punguza mhemko twende sawa.

Aina ya adhabu zinazotolewa na jamii fulani zinauwezo wakukwambia hiyo jamii ilivyo/ilivyokuwa.

Sasa kama walimtoa nguo akabaki na kichupi kaning'inia msalabani na wala hawakuwaza huoni kama hiyo jamii ilikuwa rafu sana, iyo ilikuwa ishu ndogo kwao unapewa kichapo unavuliwa nguo unaachwa hapo na hakuna kuwaza na watoto na wanawake wapo hapo.

Anyway Mkuu, sijalenga kuumiza imani yako ila tuwaze tu nje ya vile tulivyofundishwa
 
Kuhusu mavazi...Yesu alivaa mavazi bora sana tena ya kifalme...rejea walipoyapigia kura mavazi yake baada ya kifo na kugawana
 
Kuhusu mavazi...Yesu alivaa mavazi bora sana tena ya kifalme...rejea walipoyapigia kura mavazi yake baada ya kifo na kugawana
Sahihi kabisa. Wazazi wake ndio walikua dunia na sio yeye Yesu, hasa baada ya kuanza kufanya huduma yake. Matajiri pia kama Zakayo walikua wanamfuata hivyo mali zao walimpatia pia ili kusapoti Quest yake.
 
Yesu hakuwa mnyonge, huduma yake aliiendesha kama taasisi.
Wale mitume 12 walikuwa ni watu wenye ujuzi kila mtu.

Hadi akawa na mtunza pesa, hivyo hakuwa hahe hohe kabisa.
 
Rest in Heaven my scientist
Leornardo da Vinci
Huyu hana wa kumfananisha nae hii dunia alikuwa mwamba kweli kweli
 
Seventh Day Adventist Church, baadhi yao walitaka kwenda ulaya bila passport wala nauli. Upuuzi dot Com
Kila imani ina wapuuzi kama hawa, huipokea imani kwa msisimko bila elimu sahihi.
Waliaibisha sana hao wakora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…