PreGE2025 Waliosafirishwa kujaza Mkutano wa CHAUMMA walalamika kutopewa malipo waliyoahidiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Inadaiwa CHAUMMA wamengia mitini na kushindwa kulipa watu waliowasafisha kwenda kwenye Mkutano Mkuu uliofanyika jana Mei 21 jijini Dar es Salaam, walalamikaji wanasema waliapewa ahadi ya pesa lakini hawakupewa pesa zao, walalamikaji wanasema fedha zao zimeliwa na waliosimamia mgao.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
The day we stop glorifying uchaguzi and push for accountable Tanzania is the day we are free from mentality za wakoloni
Pure truth here, kuongezea tu wakoloni wa ndani na wa nje
 
Kawalipe wewe
 
We Mrema na Kigaila lipeni watu posho mlizowaahidi kuja kujaza ukumbi msilete uhuni uhuni - hiyo hela yote mnataka kuisonda wenyewe kwa nini?
Matu watamwaga mboga - Upepo utaouliza nyeti zote hadharani, ohooooo
Soon watagombana
 
Wenje ??? CHADEMA kuweni makini na Wenje na Boni Yai
 
Hii nchi imejaa matapeli. Hata hivyo wacha wapigwe tu
 
Haahaa rushwa Haina urafiki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…