PreGE2025 Waliosafirishwa kujaza Mkutano wa CHAUMMA walalamika kutopewa malipo waliyoahidiwa

PreGE2025 Waliosafirishwa kujaza Mkutano wa CHAUMMA walalamika kutopewa malipo waliyoahidiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbowe hawezi kwepa hii saga ya watu kuhama chama.
 
We Mrema na Kigaila lipeni watu posho mlizowaahidi kuja kujaza ukumbi msilete uhuni uhuni - hiyo hela yote mnataka kuisonda wenyewe kwa nini?
Matu watamwaga mboga - Upepo utaouliza nyeti zote hadharani, ohooooo
😁😁😁 Ile siku nimesombwa kwenda kujaza Mkutano /kikao Cha CCM kwa ahadi ya elfu 10 imepita miaka mingi mingi Sanaa.

Na wakagawana viongozi wa juu sisi baada ya kikao/ Mkutano tukayeyushwa tukaachwa solemba 😁😁😁

Nilitukana Sana na kulaani Sana 😁😁😁 tangu hapo nikawa na principal # SITAPELIKI/ SIDANGANYIKI.
 
Wakuu!

Inadaiwa CHAUMMA wamengia mitini na kushindwa kulipa watu waliowasafisha kwenda kwenye Mkutano Mkuu uliofanyika jana Mei 21 jijini Dar es Salaam, walalamikaji wanasema waliapewa ahadi ya pesa lakini hawakupewa pesa zao, walalamikaji wanasema fedha zao zimeliwa na waliosimamia mgao.


Wachaga ni marafiki zangu ila wanazidi sasa!
 
Ubwabwa walipewa lakini Wakala na kushiba au Hata huo walinyimwa?
 
Waliosombwa kutoka Mwanza, Musoma n.k watoa ushuhuda jinsi walivyohadaiwa hadi kuhudhuria mkutano wa CHAUMMA, wasimuliwa walivyosombwa...

23 May 2025

BALAA! WADAI KUTAPELIWA NA CHAUMMA, WADAI NJAA ZIMEWAPONZA, "NIRUDISHENI, NITAKUFA CHADEMA"​


Mwenyekiti wa BAZECHA Kwimba walipigiwa simu kuwa wanaenda Dar es Salaam kuhudhuria mkutano wa Freeman Mbowe wa CHADEMA ..

Mary Kachiki wa BAWACHA Ngudu Kwimba Mwanza naye alipigiwa simu kuwa kuna mkutano Dar es Salaam

Naye katibu wa BAVICHA Ngudu Kwimba

Naye bi. Salma kutoka Musoma naye alitumiwa tiketi kwa simu

Walipofika DSM wakashangaa wanafahamishwa kuna mchakato wa kubadilisha jina CHADEMA kuwa CHAUMMA

 
Mikoani waistukia utapeli unaoongozwa na John Mrema, Salum Mwalimu, dalali wa magari mkongwe jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wakili msomi mzee Hashim Rungwe CHAUMMA

Toka maktaba :
22 May2025
Katibu wa muenezi wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA jimbo la MBINGA MJINI Ndugu URSO NOMBO

View: https://m.youtube.com/watch?v=8nrj0ae5I5U

Amesema baadhi ya wajumbe wa sekretarieti ya CHADEMA wakati wa uongozi wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho FREEMAN MBOWE ambao kwa sasa wamehamia Chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA ...

Vijana Jazz UVCCM SAGA RHUMBA Ogopa Tapeli​


View: https://m.youtube.com/watch?v=wB3Z38pfICM
 
Waliosombwa kutoka Mwanza, Musoma n.k watoa ushuhuda jinsi walivyohadaiwa hadi kuhudhuria mkutano wa CHAUMMA, wasimuliwa walivyosombwa...

23 May 2025

BALAA! WADAI KUTAPELIWA NA CHAUMMA, WADAI NJAA ZIMEWAPONZA, "NIRUDISHENI, NITAKUFA CHADEMA"​



View: https://m.youtube.com/watch?v=mZGYd9K0B5I

Mwenyekiti wa BAZECHA Kwimba walipigiwa simu kuwa wanaenda Dar es Salaam kuhudhuria mkutano wa Freeman Mbowe wa CHADEMA ..


Mary Kachiki wa BAWACHA Ngudu Kwimba Mwanza naye alipigiwa simu kuwa kuna mkutano Dar es Salaam

Naye katibu wa BAVICHA Ngudu Kwimba

Naye bi. Salma kutoka Musoma naye alitumiwa tiketi kwa simu

Walipofika DSM wakashangaa wanafahamishwa kuna mchakato wa kubadilisha jina CHADEMA kuwa CHAUMMA

Dah! Msosi
 
Kwani CHAUMMA hamna ubwabwa?
1000036755.jpg
 
Back
Top Bottom