PreGE2025 Waliosafirishwa kujaza Mkutano wa CHAUMMA walalamika kutopewa malipo waliyoahidiwa

PreGE2025 Waliosafirishwa kujaza Mkutano wa CHAUMMA walalamika kutopewa malipo waliyoahidiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waliosombwa kutoka Mwanza, Musoma n.k watoa ushuhuda jinsi walivyohadaiwa hadi kuhudhuria mkutano wa CHAUMMA, wasimuliwa walivyosombwa...

23 May 2025

BALAA! WADAI KUTAPELIWA NA CHAUMMA, WADAI NJAA ZIMEWAPONZA, "NIRUDISHENI, NITAKUFA CHADEMA"​


Mwenyekiti wa BAZECHA Kwimba walipigiwa simu kuwa wanaenda Dar es Salaam kuhudhuria mkutano wa Freeman Mbowe wa CHADEMA ..

Mary Kachiki wa BAWACHA Ngudu Kwimba Mwanza naye alipigiwa simu kuwa kuna mkutano Dar es Salaam

Naye katibu wa BAVICHA Ngudu Kwimba

Naye bi. Salma kutoka Musoma naye alitumiwa tiketi kwa simu

Walipofika DSM wakashangaa wanafahamishwa kuna mchakato wa kubadilisha jina CHADEMA kuwa CHAUMMA

Siasa za kishamba
 
Salum mwalimu kazaa nao watoto baada ya kuwavuruga wengi na kama itokee ana HIV itakuwa balaa
Jf wewe leta kichwa cha habari tu watu wataanza kutiririka.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Maana yake kwa maelezo yako huyu jamaa ni kitombi sana
 
Hakuna utapeli hapo ila Hawa chauma ni wachumia tumbo, waliwapa watu posho ili waonekane nyomi lao mbele ya kamera. Pia Hawa akina kigaila, Salum Mwalimu, Devota Minja wanatafuta Jukwaa la kugombea ubunge tuu baada ya msajili kusema Chadema hakitashiriki UCHAGUZI.Siasa uchwara. Je huo ubunge utapatikana Chauma kivipi? Nini kiliwatokea 2020? Hakitatokea 2025? Suala la muda TU. Kuunda chama na kufanya maarufu si kazi nyepesi.
 

Attachments

  • downloadfile-37.jpg
    downloadfile-37.jpg
    380.6 KB · Views: 14
Haya ni madhara ya CHADEMA yaloletwa na mbowe kupokea wahuni Toka CCM,Huyu Devotha Minja kaingia Chadema kipindi lowasa anakuja Chadema 2015 na akapewa ubunge viti maalum kama mtu wa Lowasa,ajabu akaja kupewa uenyekiti Kanda ya kati kirahisi sana,Lisu wacha aitengeneze CDM kama taasisi imara kwa sasa,Wahuni wengi wataondoka itabaki CDM asili
 
Waliosombwa kutoka Mwanza, Musoma n.k watoa ushuhuda jinsi walivyohadaiwa hadi kuhudhuria mkutano wa CHAUMMA, wasimuliwa walivyosombwa...

23 May 2025

BALAA! WADAI KUTAPELIWA NA CHAUMMA, WADAI NJAA ZIMEWAPONZA, "NIRUDISHENI, NITAKUFA CHADEMA"​


Mwenyekiti wa BAZECHA Kwimba walipigiwa simu kuwa wanaenda Dar es Salaam kuhudhuria mkutano wa Freeman Mbowe wa CHADEMA ..

Mary Kachiki wa BAWACHA Ngudu Kwimba Mwanza naye alipigiwa simu kuwa kuna mkutano Dar es Salaam

Naye katibu wa BAVICHA Ngudu Kwimba

Naye bi. Salma kutoka Musoma naye alitumiwa tiketi kwa simu

Walipofika DSM wakashangaa wanafahamishwa kuna mchakato wa kubadilisha jina CHADEMA kuwa CHAUMMA

Kazi ipo! Hawa ndio viongozi wa Chadema? Inasikitisha sana.

Amandla...
 
Nilivyoon JOHN MREMA na Kigaila nilijua tayari utapeli umeingia.Salum mwalimu kapewa mamilioni Toka kwenye mfumo Ili kuwarubuni wanachama wa chadema, wanawadanganya wamebadilisha jina Toka chadema kwenda CHAUMA.
Hawa ni viongozi wa Chadema maana hawajaukana uanachama wao.
1. Hawajui kuwa Mbowe sio Mwenyekiti wa Chadema.
2. Hawajui kuwa kuna CHAUMMA sio chama kipya.
3. Wako tayari kusafiri kutoka Mwanza hadi Dar kwa shilingi 3000.
4. Bi Salma anaongelea talking points za Chadema kuhusu watu kujali matumbo yao zaidi ya shida za wananchi.

Kama hawa ndio mfano wa grassroots uongozi wa Chadema basi kazi wanayo.

Amandla...
 
Hizi kodi za wananchi zinvyoibia tuseme jwtz hawaoni au ni dharau
 
Waliosombwa kutoka Mwanza, Musoma n.k watoa ushuhuda jinsi walivyohadaiwa hadi kuhudhuria mkutano wa CHAUMMA, wasimuliwa walivyosombwa...

23 May 2025

BALAA! WADAI KUTAPELIWA NA CHAUMMA, WADAI NJAA ZIMEWAPONZA, "NIRUDISHENI, NITAKUFA CHADEMA"​


Mwenyekiti wa BAZECHA Kwimba walipigiwa simu kuwa wanaenda Dar es Salaam kuhudhuria mkutano wa Freeman Mbowe wa CHADEMA ..

Mary Kachiki wa BAWACHA Ngudu Kwimba Mwanza naye alipigiwa simu kuwa kuna mkutano Dar es Salaam

Naye katibu wa BAVICHA Ngudu Kwimba

Naye bi. Salma kutoka Musoma naye alitumiwa tiketi kwa simu

Walipofika DSM wakashangaa wanafahamishwa kuna mchakato wa kubadilisha jina CHADEMA kuwa CHAUMMA

yaani watu wamemezeshwa maneno wanaongea mpaka wanapoteza kumbukumbu

chadema imeingia kwenye propaganda za ******* sana eti ndio rebuttal ya mafuriko ya chaumma

yaani chadema wamebaki mataahira

ndio wameratibu huu ungeserema halafu wanadhani kuna watu wataamini?

bure kabisa

njooni na majibu ya real people wahame kutoka chaumma au act warudi chadema

chadema hakuna chama tena kama ndio wamebaki na akili za hovyo namna hii!
 
Back
Top Bottom