PreGE2025 Waliosafirishwa kujaza Mkutano wa CHAUMMA walalamika kutopewa malipo waliyoahidiwa

PreGE2025 Waliosafirishwa kujaza Mkutano wa CHAUMMA walalamika kutopewa malipo waliyoahidiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
G55 ni genge la wahuni watupu wapiga dili wachumia tumbo, nilishituka niliposikia viongozi wao wameoa COVID19 halafu wakawa wanaendesha kesi nao mahakamani
Na Mbowe hata hakutia neno lolote hapo!
 
Hahahahaaaaa! Umeona ee?!!! Halafu yenyewe, isivyo na aibu, imejipanga inajibizana ujinga ujinga tu. CHAUMA NI MOTO......WATU WAMETISHIKA VIBAYA, WAMECHANGANYIKIWA. Period.
Kama husumbuliwi na uchizi, itakuwa ni bangi tofauti na ile ya siku zote!
 
Nilivyoon JOHN MREMA na Kigaila nilijua tayari utapeli umeingia.Salum mwalimu kapewa mamilioni Toka kwenye mfumo Ili kuwarubuni wanachama wa chadema, wanawadanganya wamebadilisha jina Toka chadema kwenda CHAUMA.
Aisee hapo CHADEMA iitishe uchaguzi wa dharura hakuna viongozi hapo!. Kwamba wakina Mrema ndio viongozi wa CHADEMA🤣
 
CHAUMMA mnawa watapeli watu wa mikoani, hatari sana chama cha watu wa Kijitonyama Dar es Salaam
Wewe utakuwa jirani yangu Kijitonyama Auction Mart😀😀
Ila kwanini ulikimbilia Bagamoyo?
 
Mambo hadharani, nani nyuma ya michezo ya kuvuruga CHADEMA

Naye jasusi TV anafafanua:



Toka maktaba​

19 May 2025​

CCM + Mfumo vs CHADEMA = G55 + CHAUMMA | Hujuma ya Kihistoria Dhidi ya Demokrasia Huru Tanzania​


View: https://m.youtube.com/watch?v=F99FKlzwZFg

Kule kwa Mange Kimambi kaonyesha Bilion 15 kazi maalum zimetoka Hazina na kazi ya hizo pesa ni kuihujumu kuudhofisha chadema wanufaika wa hizo pesa ni makala na mbowe kwani ndiyo vinara wa mchongo na madalali wakuu juu ya Dili la kuwauza G55 kwenda chauma ubwabwa a k a Chaumaccm
 
Nilivyoon JOHN MREMA na Kigaila nilijua tayari utapeli umeingia.Salum mwalimu kapewa mamilioni Toka kwenye mfumo Ili kuwarubuni wanachama wa chadema, wanawadanganya wamebadilisha jina Toka chadema kwenda CHAUMA.
Mrema ni mwizi mfitini dhulumaji, na Kigaila ni mzushi, Roho mbaya,mmbea, mchonganishi, Msengenyaji, mpenda majungu, na Salum mwalimu ni mzinzi, mnafiki, kigeugeu na muongo sana, kwa Hakika chauma ubwabwa imesokomezewa Takataka na magalasa matupu na kigaila atamuua mzee Rungwe kwa majungu na kufanya mapinduzi
 
Salum mwalimu na kigaila kwa Tabia zao za hovyo uzinzi na majungu huyo Mzee Rungwe jiandae kufa kwa pressure
 
G55 ni genge la wahuni watupu wapiga dili wachumia tumbo, nilishituka niliposikia viongozi wao wameoa COVID19 halafu wakawa wanaendesha kesi nao mahakamani
Salum mwalimu kazaa nao watoto baada ya kuwavuruga wengi na kama itokee ana HIV itakuwa balaa
 
ile bilion 15 iliyotoka kwa kazi maalum kule kwa mambe kimambi imefanya kazi ya kuihujumu kuudhofisha chadema na madalali wakuu ni Mbowe na makala chawa ni akina kigaila mwenyekiti wa kamati ya Roho mbaya na Mrema kamati ya Dhuluma na kuwanyenga watu na Salum mwalimu ni mwenyekiti wa Ulaghai na uzinzi
 
Tunamshukuru sana Mungu kwa kuwaondoa hawa wajinga. Ni wazi hata CDM ingejaliwa kushika dola hawa wapumbavu wangeifilisi nchi. Mkafie mbele.
Kwanza mzee Rungwe afiche familia yake kwani mda si mrefu utasikia Salum mwalimu kawatia mimba, hao mashetani Mrema, Kigaila na Salum mwalimu ni hatari sana
 
Kwamba unaipinga chauma huku umevaa t-shirt yao? 😂
Yale yale ya TBC waliunda taarifa ya habari uchwara ety baadhi ya wanachadema wanapinga katiba mpya huku wamevaa t-shirt za kudai katiba mpya 😂
Halafu ndiyo chombo ulitaka kwenda kufanya nao kazi
Haya ni maajabuu
 
Kwanza mzee Rungwe afiche familia yake kwani mda si mrefu utasikia Salum mwalimu kawatia mimba, hao mashetani Mrema, Kigaila na Salum mwalimu ni hatari sana
Wahuni wakubwa wale
Matapeli ya mjini
Mijitu ipo kwenye siasa kutetea matumbo yao
Mavi yao
 
Wazinzi matapeli walaghai wahuni wakubwa wa siasa njaa55 pumbavu zenu
 
Waliosombwa kutoka Mwanza, Musoma n.k watoa ushuhuda jinsi walivyohadaiwa hadi kuhudhuria mkutano wa CHAUMMA, wasimuliwa walivyosombwa...

23 May 2025

BALAA! WADAI KUTAPELIWA NA CHAUMMA, WADAI NJAA ZIMEWAPONZA, "NIRUDISHENI, NITAKUFA CHADEMA"​


Mwenyekiti wa BAZECHA Kwimba walipigiwa simu kuwa wanaenda Dar es Salaam kuhudhuria mkutano wa Freeman Mbowe wa CHADEMA ..

Mary Kachiki wa BAWACHA Ngudu Kwimba Mwanza naye alipigiwa simu kuwa kuna mkutano Dar es Salaam

Naye katibu wa BAVICHA Ngudu Kwimba

Naye bi. Salma kutoka Musoma naye alitumiwa tiketi kwa simu

Walipofika DSM wakashangaa wanafahamishwa kuna mchakato wa kubadilisha jina CHADEMA kuwa CHAUMMA

Hivi ni vichekesho vya 2025
 
Back
Top Bottom