Gurugurumee
JF-Expert Member
- Apr 4, 2024
- 702
- 1,236
Ubwabwa upo mwingi tuKwani CHAUMMA hamna ubwabwa?View attachment 3343208
Ubwabwa upo mwingi tuKwani CHAUMMA hamna ubwabwa?View attachment 3343208
CHAUMA ni genge la majangili na wahujumu uchumi
Very cheap propaganda.Waliosombwa kutoka Mwanza, Musoma n.k watoa ushuhuda jinsi walivyohadaiwa hadi kuhudhuria mkutano wa CHAUMMA, wasimuliwa walivyosombwa...
23 May 2025
BALAA! WADAI KUTAPELIWA NA CHAUMMA, WADAI NJAA ZIMEWAPONZA, "NIRUDISHENI, NITAKUFA CHADEMA"
Mwenyekiti wa BAZECHA Kwimba walipigiwa simu kuwa wanaenda Dar es Salaam kuhudhuria mkutano wa Freeman Mbowe wa CHADEMA ..
Mary Kachiki wa BAWACHA Ngudu Kwimba Mwanza naye alipigiwa simu kuwa kuna mkutano Dar es Salaam
Naye katibu wa BAVICHA Ngudu Kwimba
Naye bi. Salma kutoka Musoma naye alitumiwa tiketi kwa simu
Walipofika DSM wakashangaa wanafahamishwa kuna mchakato wa kubadilisha jina CHADEMA kuwa CHAUMMA
CHAUMMA 2 CHADEMA 0Waliosombwa kutoka Mwanza, Musoma n.k watoa ushuhuda jinsi walivyohadaiwa hadi kuhudhuria mkutano wa CHAUMMA, wasimuliwa walivyosombwa...
23 May 2025
BALAA! WADAI KUTAPELIWA NA CHAUMMA, WADAI NJAA ZIMEWAPONZA, "NIRUDISHENI, NITAKUFA CHADEMA"
Mwenyekiti wa BAZECHA Kwimba walipigiwa simu kuwa wanaenda Dar es Salaam kuhudhuria mkutano wa Freeman Mbowe wa CHADEMA ..
Mary Kachiki wa BAWACHA Ngudu Kwimba Mwanza naye alipigiwa simu kuwa kuna mkutano Dar es Salaam
Naye katibu wa BAVICHA Ngudu Kwimba
Naye bi. Salma kutoka Musoma naye alitumiwa tiketi kwa simu
Walipofika DSM wakashangaa wanafahamishwa kuna mchakato wa kubadilisha jina CHADEMA kuwa CHAUMMA
Hao ni sisiemu zero minded .Kwamba unaipinga chauma huku umevaa t-shirt yao? 😂
Yale yale ya TBC waliunda taarifa ya habari uchwara ety baadhi ya wanachadema wanapinga katiba mpya huku wamevaa t-shirt za kudai katiba mpya 😂
Hahaha Mkuu......ule wimbo wa NGAPULILAOgopa matapeli 🙌😂😂😂😂😂😂😂
Kumbe haka kajamaa ni kapuuzi kiasi hikiView attachment 3343207
Hebu wasikilize Matapeli 😆😆😆😆😂
Wacha Bhwanaaah!Walipofika DSM wakashangaa wanafahamishwa kuna mchakato wa kubadilisha jina CHADEMA kuwa CHAUMMA
Hahahahaaaaa! Umeona ee?!!! Halafu yenyewe, isivyo na aibu, imejipanga inajibizana ujinga ujinga tu. CHAUMA NI MOTO......WATU WAMETISHIKA VIBAYA, WAMECHANGANYIKIWA. Period.Very cheap propaganda.