Unamsema nani kachanganyikiwa, kama si GENGE la Samia linalozidi kutambuwa kuwa waTanzania wamepania kuliangamiza!Mmechanganyikiwa na ujio wa CHAUMA, ajabu CHAUMA Wala hawana habari na nyie......wanaongelea yao tu
Unamsema nani kachanganyikiwa, kama si GENGE la Samia linalozidi kutambuwa kuwa waTanzania wamepania kuliangamiza!Mmechanganyikiwa na ujio wa CHAUMA, ajabu CHAUMA Wala hawana habari na nyie......wanaongelea yao tu
Unaongelea CCM sio Chademayaani watu wamemezeshwa maneno wanaongea mpaka wanapoteza kumbukumbu
chadema imeingia kwenye propaganda za ******* sana eti ndio rebuttal ya mafuriko ya chaumma
yaani chadema wamebaki mataahira
ndio wameratibu huu ungeserema halafu wanadhani kuna watu wataamini?
bure kabisa
njooni na majibu ya real people wahame kutoka chaumma au act warudi chadema
chadema hakuna chama tena kama ndio wamebaki na akili za hovyo namna hii!
SurePoint of correction: Huu utapeli CCM ndiyo wako mbele wanaongoza na kuelekeza njia.
naongelea chadema wameamua kuingia kwenye propaganda uchwara hiziUnaongelea CCM sio Chadema
Naona hadi bajaj na boda wamekuwa wajanja...jaza wese toa posho tupige kazi hutaki kaa kushoto.😁😁😁 Ile siku nimesombwa kwenda kujaza Mkutano /kikao Cha CCM kwa ahadi ya elfu 10 imepita miaka mingi mingi Sanaa.
Na wakagawana viongozi wa juu sisi baada ya kikao/ Mkutano tukayeyushwa tukaachwa solemba 😁😁😁
Nilitukana Sana na kulaani Sana 😁😁😁 tangu hapo nikawa na principal # SITAPELIKI/ SIDANGANYIKI.