Waliosaidia viongozi wastaafu kudukuliwa walipata faida gani?

Waliosaidia viongozi wastaafu kudukuliwa walipata faida gani?

Shida ipo kubwa sana mkuu,

Kwanini Hawaigi mfano wa Baba wa Taifa??

Kwani Maria Nyerere alishindwa nae kugombea Ubunge??

Huko kujazana familia nzima kwenye utawala si ndio mwanzo wa kutengeneza matabaka ya watawala na watawaliwa.
Well said
 
Mimi namshangaa sana Kikwete,

Yaani Mkewe au Former First Lady Kwa miaka kumi Kwa Sasa ni Mbunge...
katiba na sheria ndio zime idhinisha rais wastaafu kutunzwa? lakin katiba hiyo inetungwa na nani ikapitishwa na nani.. chini ya chama gani?

Oh mama kikwete yuko kwenye ubunge? Jpm alikuwa anafanya nn kuruhusu hilo?

umeandika as if jk ndio analazimisha.. kumbe ndio nyie wenyewe na sheria zenu mna mbeba halaf unakuja kulaumu.
 
Shida ipo kubwa sana mkuu,

Kwanini Hawaigi mfano wa Baba wa Taifa??

Kwani Maria Nyerere alishindwa nae kugombea Ubunge??

Huko kujazana familia nzima kwenye utawala si ndio mwanzo wa kutengeneza matabaka ya watawala na watawaliwa.
Mama Salma ubunge alipewa na Rais wako kipenziii bwana kileviii
Mama Maria yee alishawahi kupewa ubunge akakataa??
 
Mimi namshangaa sana Kikwete,

Yaani Mkewe au Former First Lady Kwa miaka kumi Kwa Sasa ni Mbunge.

Mwanae wa Kwanza ni Mbunge,

Yeye Kikwete anapokea mshahara wa Rais aliyepo madarakani Kwa asilimia 80%.

Wachana na Ulinzi.

Sasa wakuu tukisema Kikwete ni mbinafsi tutakua tunakosea???
Salma alipewa ubunge na Jiwe bila hata sababu. Nyingi huwa ni rushwa ili na yeye akipiga wakae kimya.
 
Shida ipo kubwa sana mkuu,

Kwanini Hawaigi mfano wa Baba wa Taifa??

Kwani Maria Nyerere alishindwa nae kugombea Ubunge??

Huko kujazana familia nzima kwenye utawala si ndio mwanzo wa kutengeneza matabaka ya watawala na watawaliwa.
Mama maria alishawahi kuombwa kugombea akakataa?
ilikuwa ni haki yake kikatiba..lakin kama hakutumia huo muda ..muda umesha mpita.

hivi ubunge ni zawad mtu anapewa au unagombea?
kama kamati za chama zinawapitisha kugombea laumu chama, maana ndio kinawaa freedom hiyo.
 
Tulishaona na kusikia humu humu JF sauti na video za kutengeneza zilizowahusu viongozi wa sasa na viongozi wastaafu waliodukuliwa huku wakidaiwa kumsengenya Aliyekuwa Rais wa Tanzania , ambaye sasa anaitwa mwendazake...
Mkurugenzi TCRA yupo, Voda yupo tu ;wapo tu, Musiba aliyeshauri yupo tu, Ndugu-wa-Aai yupo tu, mmoja ndio anaoza huko ardhini.
 
Mimi namshangaa sana Kikwete,

Yaani Mkewe au Former First Lady Kwa miaka kumi Kwa Sasa ni Mbunge...
Stroke wewe ni mnafiki tena bonge la nafiki. Mwamba Erythrocyte alileta uzi may Mbowe kuvikwa vazi la kimasai alipozuru Arusha. Angalia hapo chini ulivyojibu. Kwa kuwa ole Sabaya ni mmasai kama weweukakoment kikabila sasa kwa nini unaumia kuhusu Kikwete.Sabayaya matukio yote ya uhalifu yako wazi kisa ni homeboy. Tulia tu hukohuko longido.
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Screenshot_20210618_074710.jpg
 
Katiba inawaruhusu mkuu Kama wangekuwa wamevunja katiba hapo n sawa

Mbona mzee mwinyi mwanae Rais na mwingine mbunge na katiba inawaruhusu
Mtu hukulia mazingira fulani ambayo baadae huwa sehemu ya maisha yake. Si ajabu.
 
Tulishaona na kusikia humu humu JF sauti na video za kutengeneza zilizowahusu viongozi wa sasa na viongozi wastaafu waliodukuliwa huku wakidaiwa kumsengenya Aliyekuwa Rais wa Tanzania , ambaye sasa anaitwa mwendazake...
Faida zaidi anaijua 'aliyepumzika' Chato.
 
Siyo jambo geni kwa familia kuingia kwenye siasa. Take stock of the Kennedy, Bush, Clinton. Acha wivu wa kike.
 
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania kudukua ni kosa kubwa kisheria , japo wadukuaji hao hawakushitakiwa kwa mjumbe wa nyumba 10 , serikali za mitaa ama mahakamani ( japo naamini iko siku watadakwa na kushitakiwa )
Kwanza naunga mkono hoja, kudukua ni kosa la jinai, hivyo siungi mkono udukuzi wa aina yoyote.

Pia sikuunga mkono utenguzi ule uliofanyika kutokana na udukuzi ule.

Japo hakuna siku hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya wadukuzi hawa, ila wale waliofanya udukuzi kwa kutimiza wajibu wao, wao wako salama, kwasababu sote tunajua serikali zote, vyombo vyote vya ulinzi na usalama na mashirika yote ya kijasusi yanafanya udukuzi wa kiiteligensia kwa ajili ya usalama. Lakini walio leak hizo voice notes ndio wamefanya makosa, na karma iliishaanza kuwashughulikia mmoja baada ya mwingine.
P
 
Mimi namshangaa sana Kikwete,

Yaani Mkewe au Former First Lady Kwa miaka kumi Kwa Sasa ni Mbunge.

Mwanae wa Kwanza ni Mbunge,

Yeye Kikwete anapokea mshahara wa Rais aliyepo madarakani Kwa asilimia 80%.

Wachana na Ulinzi.

Sasa wakuu tukisema Kikwete ni mbinafsi tutakua tunakosea???
Wamevunja sheria gani kwa wao kuwa Wabunge? Kikwete kavunja sheria gani kupokea mshahara huo?
 
Khaa kwa hiyo ulitaka Ridhiwan asitimize ndoto zake za KISIASA kwa kuwa tu ni mtoto wa RAIS Mstaafu ?!!!

Mama Salma Kikwete alimlazimisha hayati Magufuli kumteua Ubunge?!!

Na kiheshima ulitaka amkatalie Rais asiende kutumika bungeni ?!!!

Viongozi wengi watoto wao na ndugu zao ni WANASIASA NA WATENDAJI WAKUBWA TU...Wana haki zote kwani KATIBA YA NCHI haiwazuii......

Mshahara wa 80% haukuwekwa na Rais Kikwete....uko KISHERIA NA KITARATIBU YA WASTAAFU WA NGAZI YAKE.....

#KaziIendelee
#NchiKwanza
Namkubali sana mwendazake yaani familia yake haijihusishi na siasa kabisa hata alipokuwa madarakani mshua.
 
Jiwe aliwadukua ili lengo lake la kuwaondolea confidence litimie... na umma uwadharau.
 
Tulishaona na kusikia humu humu JF sauti na video za kutengeneza zilizowahusu viongozi wa sasa na viongozi wastaafu waliodukuliwa huku wakidaiwa kumsengenya Aliyekuwa Rais wa Tanzania, ambaye sasa anaitwa mwendazake.

Wako waliojitokeza kuomba radhi, huku wengine wakitimuliwa kwenye Chama , majina yao yanafahamika na wala hatuna haja ya kuyarudia, Kwa mujibu wa sheria za Tanzania kudukua ni kosa kubwa kisheria, japo wadukuaji hao hawakushitakiwa kwa mjumbe wa nyumba 10 , serikali za mitaa ama mahakamani (japo naamini iko siku watadakwa na kushitakiwa).

Sasa swali langu ni hili , wadukuaji hao ambao wanafahamu makosa yao tangu mwanzo je walilipwa nini hadi kukubali kutumika kijinai ? Haya sasa mwenda chini hayupo watakuwa tayari kuomba radhi hadharani kwa makosa yao?

Nakala : Cheusi Mangala
Faida waliopata ni kuwapa tarifa watanzania wengi kuwa viongozi wastaafu wengi ni mazezetaa..wengi wao ni wanafiki wakubwaaa wasioelezekaa...
Ninawashukuru sana waliowadukuaaa..
 
Mimi namshangaa sana Kikwete,

Yaani Mkewe au Former First Lady Kwa miaka kumi Kwa Sasa ni Mbunge.

Mwanae wa Kwanza ni Mbunge.

Yeye Kikwete anapokea mshahara wa Rais aliyepo madarakani Kwa asilimia 80%.

Wachana na Ulinzi.

Sasa wakuu tukisema Kikwete ni mbinafsi tutakua tunakosea?
Kikwete alikufanyaga nn ww stroke au una mimba yake? By the way mf: ungekuewa dem sidhani kama angetupia bao lake kwenye takataka kama ww

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom