Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mpuuzi ni wewe unayewaondolea haki za kikatiba wengine kwa kuwa tu wana mahusiano ya kidamu na viongozi WAKUBWA.....Point za kipuuzi kabisa
Mbona hushangai WANAJESHI wakubwa watoto wao nao huwa WANAJESHI....
Mbona hushangai MADAKTARI wakubwa watoto wao nao huwa MADAKTARI....n.k
Ishu iwe nongwa kwa Ridhiwani kuwa MWANASIASA baada ya baba yake kuwa MWANASIASA?!!!
Mnamsiliba Ridhiwan kana kwamba ni wa KWANZA kuwa mwanasiasa miongoni mwa watoto wa WANASIASA WETU WAKUBWA na VIONGOZI WETU.....
Mbali na UBONGO ,hivi huwa "mnatumiaga" viungo gani vingine KUFIKIRI?!!!