Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Point za kipuuzi kabisaKhaa kwa hiyo ulitaka Ridhiwan asitimize ndoto zake za KISIASA kwa kuwa tu ni mtoto wa RAIS Mstaafu?
Mama Salma Kikwete alimlazimisha hayati Magufuli kumteua Ubunge?...
Well saidShida ipo kubwa sana mkuu,
Kwanini Hawaigi mfano wa Baba wa Taifa??
Kwani Maria Nyerere alishindwa nae kugombea Ubunge??
Huko kujazana familia nzima kwenye utawala si ndio mwanzo wa kutengeneza matabaka ya watawala na watawaliwa.
Ni mbinafsi kupita kiasi, upo sahihi sana.Mimi namshangaa sana Kikwete,
Yaani Mkewe au Former First Lady Kwa miaka kumi Kwa Sasa ni Mbunge...
katiba na sheria ndio zime idhinisha rais wastaafu kutunzwa? lakin katiba hiyo inetungwa na nani ikapitishwa na nani.. chini ya chama gani?Mimi namshangaa sana Kikwete,
Yaani Mkewe au Former First Lady Kwa miaka kumi Kwa Sasa ni Mbunge...
Mama Salma ubunge alipewa na Rais wako kipenziii bwana kileviiiShida ipo kubwa sana mkuu,
Kwanini Hawaigi mfano wa Baba wa Taifa??
Kwani Maria Nyerere alishindwa nae kugombea Ubunge??
Huko kujazana familia nzima kwenye utawala si ndio mwanzo wa kutengeneza matabaka ya watawala na watawaliwa.
Salma alipewa ubunge na Jiwe bila hata sababu. Nyingi huwa ni rushwa ili na yeye akipiga wakae kimya.Mimi namshangaa sana Kikwete,
Yaani Mkewe au Former First Lady Kwa miaka kumi Kwa Sasa ni Mbunge.
Mwanae wa Kwanza ni Mbunge,
Yeye Kikwete anapokea mshahara wa Rais aliyepo madarakani Kwa asilimia 80%.
Wachana na Ulinzi.
Sasa wakuu tukisema Kikwete ni mbinafsi tutakua tunakosea???
Mama maria alishawahi kuombwa kugombea akakataa?Shida ipo kubwa sana mkuu,
Kwanini Hawaigi mfano wa Baba wa Taifa??
Kwani Maria Nyerere alishindwa nae kugombea Ubunge??
Huko kujazana familia nzima kwenye utawala si ndio mwanzo wa kutengeneza matabaka ya watawala na watawaliwa.
Mkurugenzi TCRA yupo, Voda yupo tu ;wapo tu, Musiba aliyeshauri yupo tu, Ndugu-wa-Aai yupo tu, mmoja ndio anaoza huko ardhini.Tulishaona na kusikia humu humu JF sauti na video za kutengeneza zilizowahusu viongozi wa sasa na viongozi wastaafu waliodukuliwa huku wakidaiwa kumsengenya Aliyekuwa Rais wa Tanzania , ambaye sasa anaitwa mwendazake...
Stroke wewe ni mnafiki tena bonge la nafiki. Mwamba Erythrocyte alileta uzi may Mbowe kuvikwa vazi la kimasai alipozuru Arusha. Angalia hapo chini ulivyojibu. Kwa kuwa ole Sabaya ni mmasai kama weweukakoment kikabila sasa kwa nini unaumia kuhusu Kikwete.Sabayaya matukio yote ya uhalifu yako wazi kisa ni homeboy. Tulia tu hukohuko longido.Mimi namshangaa sana Kikwete,
Yaani Mkewe au Former First Lady Kwa miaka kumi Kwa Sasa ni Mbunge...
Mtu hukulia mazingira fulani ambayo baadae huwa sehemu ya maisha yake. Si ajabu.Katiba inawaruhusu mkuu Kama wangekuwa wamevunja katiba hapo n sawa
Mbona mzee mwinyi mwanae Rais na mwingine mbunge na katiba inawaruhusu
Faida zaidi anaijua 'aliyepumzika' Chato.Tulishaona na kusikia humu humu JF sauti na video za kutengeneza zilizowahusu viongozi wa sasa na viongozi wastaafu waliodukuliwa huku wakidaiwa kumsengenya Aliyekuwa Rais wa Tanzania , ambaye sasa anaitwa mwendazake...
Kwakua huo ndio ukweli.Kwakuwa akili zimekurudi sio
Kwanza naunga mkono hoja, kudukua ni kosa la jinai, hivyo siungi mkono udukuzi wa aina yoyote.Kwa mujibu wa sheria za Tanzania kudukua ni kosa kubwa kisheria , japo wadukuaji hao hawakushitakiwa kwa mjumbe wa nyumba 10 , serikali za mitaa ama mahakamani ( japo naamini iko siku watadakwa na kushitakiwa )
Wamevunja sheria gani kwa wao kuwa Wabunge? Kikwete kavunja sheria gani kupokea mshahara huo?Mimi namshangaa sana Kikwete,
Yaani Mkewe au Former First Lady Kwa miaka kumi Kwa Sasa ni Mbunge.
Mwanae wa Kwanza ni Mbunge,
Yeye Kikwete anapokea mshahara wa Rais aliyepo madarakani Kwa asilimia 80%.
Wachana na Ulinzi.
Sasa wakuu tukisema Kikwete ni mbinafsi tutakua tunakosea???
Namkubali sana mwendazake yaani familia yake haijihusishi na siasa kabisa hata alipokuwa madarakani mshua.Khaa kwa hiyo ulitaka Ridhiwan asitimize ndoto zake za KISIASA kwa kuwa tu ni mtoto wa RAIS Mstaafu ?!!!
Mama Salma Kikwete alimlazimisha hayati Magufuli kumteua Ubunge?!!
Na kiheshima ulitaka amkatalie Rais asiende kutumika bungeni ?!!!
Viongozi wengi watoto wao na ndugu zao ni WANASIASA NA WATENDAJI WAKUBWA TU...Wana haki zote kwani KATIBA YA NCHI haiwazuii......
Mshahara wa 80% haukuwekwa na Rais Kikwete....uko KISHERIA NA KITARATIBU YA WASTAAFU WA NGAZI YAKE.....
#KaziIendelee
#NchiKwanza
video za kutengenezaMkuu mbona unatuchanganya wasomaji? unasema sauti za kutengeneza mara wamedukuliwa sasa tushike lipi?
Faida waliopata ni kuwapa tarifa watanzania wengi kuwa viongozi wastaafu wengi ni mazezetaa..wengi wao ni wanafiki wakubwaaa wasioelezekaa...Tulishaona na kusikia humu humu JF sauti na video za kutengeneza zilizowahusu viongozi wa sasa na viongozi wastaafu waliodukuliwa huku wakidaiwa kumsengenya Aliyekuwa Rais wa Tanzania, ambaye sasa anaitwa mwendazake.
Wako waliojitokeza kuomba radhi, huku wengine wakitimuliwa kwenye Chama , majina yao yanafahamika na wala hatuna haja ya kuyarudia, Kwa mujibu wa sheria za Tanzania kudukua ni kosa kubwa kisheria, japo wadukuaji hao hawakushitakiwa kwa mjumbe wa nyumba 10 , serikali za mitaa ama mahakamani (japo naamini iko siku watadakwa na kushitakiwa).
Sasa swali langu ni hili , wadukuaji hao ambao wanafahamu makosa yao tangu mwanzo je walilipwa nini hadi kukubali kutumika kijinai ? Haya sasa mwenda chini hayupo watakuwa tayari kuomba radhi hadharani kwa makosa yao?
Nakala : Cheusi Mangala
Kikwete alikufanyaga nn ww stroke au una mimba yake? By the way mf: ungekuewa dem sidhani kama angetupia bao lake kwenye takataka kama wwMimi namshangaa sana Kikwete,
Yaani Mkewe au Former First Lady Kwa miaka kumi Kwa Sasa ni Mbunge.
Mwanae wa Kwanza ni Mbunge.
Yeye Kikwete anapokea mshahara wa Rais aliyepo madarakani Kwa asilimia 80%.
Wachana na Ulinzi.
Sasa wakuu tukisema Kikwete ni mbinafsi tutakua tunakosea?