Waliosaidia viongozi wastaafu kudukuliwa walipata faida gani?

Point za kipuuzi kabisa
Mpuuzi ni wewe unayewaondolea haki za kikatiba wengine kwa kuwa tu wana mahusiano ya kidamu na viongozi WAKUBWA.....

Mbona hushangai WANAJESHI wakubwa watoto wao nao huwa WANAJESHI....

Mbona hushangai MADAKTARI wakubwa watoto wao nao huwa MADAKTARI....n.k

Ishu iwe nongwa kwa Ridhiwani kuwa MWANASIASA baada ya baba yake kuwa MWANASIASA?!!!

Mnamsiliba Ridhiwan kana kwamba ni wa KWANZA kuwa mwanasiasa miongoni mwa watoto wa WANASIASA WETU WAKUBWA na VIONGOZI WETU.....

Mbali na UBONGO ,hivi huwa "mnatumiaga" viungo gani vingine KUFIKIRI?!!!
 
Kwa mawazo haya naamini mpaka muda unakula kwa baba
 
SAA hizi hawajielewi wamebaki wanashangaa!
 
Unatakiwa Mirembe wewe
 
Tumepata faida ya kuwajua tabia zao za hovyo kwa watu wazima kama wao!
 
Labda waliahidiwa cheo na mwendazake
 
katiba wakuu ili madudu haya yatoke ili marais nao walipwe kiinua mgongo kama watumishi wengine.ndo maana hata wakitoka madarakani bado wanaonekana miungu watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…