Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Wakihojiwa wanahamaki!Tunataka vijana wenye uwezo na uthubutu wakuhoji 09 December 2023 S S HASSAN
Ofisi ya umma ni jalala, usipotaka kuhojiwa inatakiwa ukakae kwako na familia Yako na uondoke kwenye ofisi ya umma!
Wewe ni mwajiriwa wa wananchi, usipoonekana ofisini we ni mtoro na unachezea Kodi za wanyonge na hao wanyonge watakusaidia kusema ulipo! Na unachofanya!
Hizi staili za bonge kutisha watu kwa makosa yake ya kutotoa taarifa ni staili za kishamba sana!
Huwa wakija ulaya na masuti yao summertime tunacheeeeka! Viongozi wengi wa bongo washamba sana!