Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Tatizo linaanza na Serikali yenyewe. Makamu alipoindoka kwenda "kazi maalum", mungetoa taarifa kuwa amekwenda kwa kazi hiyo.Kuna mjadala ameanzisha Waziri Nape kuhusu kuchukuliwa hatua kwa wanaohusika na uzushi wa kifo. Wakati vyombo vya dola vikisubiri maelekezo ya maandishi kutoka kwa Mhe. Waziri kama mlalamikaji naomba wanaofahamu sheria za nchi watuambie kama kuna kosa kisheria au nikunyume na tamaduni zetu?
Kama ni kosa kisheria itatusaidia sana kuwachukulia hatua wale wote wanaokurupuka kutoa taarifa za misiba kwenye mitaa yetu. Tuelimishane hapa tuanze kuchukua hatua.....ni vyema unapochangia ukatuwekea na sheria husika japo kwa kufanya citation itusaidie kama Taifa kudhibiti kadhia hizi.
Munapokaa kimya, watu hujitafutia majibu.