Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,158
- 1,746
Vyombo vina watu wasiojua cha kufanya hadi visubiri maelekezo ya waziri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mental disorder wewe kwahiyo yanayoendelea wewe unaona ni sawa ?!... Alafu heal hiyo chuki na wakina mangi otherwise tutakulamba hilo puru fakenJana ulilewa nini?nyie wamangi aachaneni na pombe
Utakapokalia chupa ndio utajua kuwa hii dunia watu hawafanan itapendeza sana ukaikalia mbele ya familia yakoNakuona Nape umekuja kwa hasira sana! Au wewe ni mkewe nini?
Sawa mke wa Nepi endelea kumpigania mumeoUtakapokalia chupa ndio utajua kuwa hii dunia watu hawafanini ,itapendeza sana ukiakalia mbele ya familia yako
Akina Mangi si ndio mnakesha humu kutukana serikali na kuimba mapambio kuhusu CDM? mngejua kuwa CDM haitaka itawale hii nchi nadhani mngekuwa wangwana tu kwa maana hamna hiyo nguvu mnayoona mnayo KUDADEKIUna mental disorder wewe kwahiyo yanayoendelea wewe unaona ni sawa ?!... Alafu heal hiyo chuki na wakina mangi otherwise tutakulamba hilo puru faken
Swala la muda tu ni lazima ukalie vhupa ya K-Vant Mangi,labda usiende kijijini kwa sikuku hizi.Sawa mke wa Nepi endelea kumpigania mumeo
Hatuwezi kuwa na jamii yenye viongozi waongowaongo, naelekeza malaika wakawashughulikie.Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais
Nanukuu
"Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao itumike vizuri na kwakuwa tuna Taasisi na watu wa kusimamia sheria hizi, bila kuathiri uhuru wa watu, TUTACHUKUA HATUA kutokomeza matumizi haya mabaya ya mtandao! Naamini wote watatuelewa
Nimeelekeza vyombo vyote vinavyohusika kuchukua hatua za mfano, ili tujenge jamii inayoheshimu uhuru wa kila mtu. Uhuru wowote unapoingilia uhuru wa mwingine ni uvunjaji wa sheria, hatuwezi kujenga jamii inayoona hilo ni jambo la kawaida"
Pia soma > Makamu wa Rais Dkt. Mpango akutana na Rais Samia Ikulu ya Chamwino
Unajitahidi kumtetea mumeo hongera ongezea juhudi.Swala la muda tu ni lazima ukalie vhupa ya K-Vant Mangi,labda usiende kijijini kwa sikuku hizi.
Nawe ongeza juhudi za kumtetea mzee Mbowe na Genge lake -Ur simply stand for a lost course .Kesha humu hadi mwisho wa dunia ,tukana matusi yote hamtakaa mtawale nchii KUDADADEKI.Unajitahidi kumtetea mumeo hongera ongezea juhudi.
Mbona nawe ni muongo muongo tu hadi unatumia jina fake ili uweze kutukana ?hivi unajisikiaje siku wanao wakijua kuwa baba anashinda kwenye mitandao kwa ID fake?Hatuwezi kuwa na jamii yenye viongozi waongowaongo, naelekeza malaika wakawashughulikie.
Mpumbavu huwa hafichi upumbavu wake,sasa hili linahusiana vp na hoja ya makamu wa rais?. Yaani wewe huwa ni pipa tupu kabisa.Ni Nape yupi anaongea haya?? Huyu huyu aliyetishiwa bastola na Makonda makalio makubwa? Amshukuru sana Maulidi Kittenge siku ile bila hivyo utumbo wa Nape ungemwagika
Hutaki kuzushiwa kifo jitokeze uvumi uishe. Unakaa mahali unaangalia watu wanaeneza uvumi bila kuondoa uvumi wakati unaweza! Ni kosa kubwa kwa mtumishi wa umma kuondoka ofisini bila kutaarifu waajiri wako. Analeta michezo ya kitoto ya kujificha ili atafutwe.Mkuu Tindo tuachane na Nape ila mimi nataka kujua ni kosa au sio kosa mkumzushia mtu kifo?(tena mtu anaongea kwa kusisitiza utafikili kaiona maiti)
Asanteee (kwa sauti ya naibu spika Zungu)2. Jamaa kutoka ktk Genge la "Watu wasiojulikana" akifanya yake.
View attachment 2839084