Waliosambaza taarifa potofu dhidi ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kukiona cha mtema kuni. Waziri Nape atoa maelekezo

Waliosambaza taarifa potofu dhidi ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kukiona cha mtema kuni. Waziri Nape atoa maelekezo

Naombeni muweke picha 2 za Nape hapa:-
1. Akiwa anaenda kumuomba radhi jiwe baada ya sauti yake kunaswa.
2. Jamaa aliyetumwa na Makonda makalio makubwa akichomoa bastola kutaka kumtoa utumbo Nape
 
Naombeni muweke picha 2 za Nape hapa:-
1. Akiwa anaenda kumuomba radhi jiwe baada ya sauti yake kunaswa.
2. Jamaa aliyetumwa na Makonda makalio makubwa akichomoa bastola kutaka kumtoa utumbo Nape
2. Jamaa kutoka ktk Genge la "Watu wasiojulikana" akifanya yake.
 
Kuna mjadala ameanzisha Waziri Nape kuhusu kuchukuliwa hatua kwa wanaohusika na uzushi wa kifo. Wakati vyombo vya dola vikisubiri maelekezo ya maandishi kutoka kwa Mhe. Waziri kama mlalamikaji naomba wanaofahamu sheria za nchi watuambie kama kuna kosa kisheria au nikunyume na tamaduni zetu?

Kama ni kosa kisheria itatusaidia sana kuwachukulia hatua wale wote wanaokurupuka kutoa taarifa za misiba kwenye mitaa yetu. Tuelimishane hapa tuanze kuchukua hatua.....ni vyema unapochangia ukatuwekea na sheria husika japo kwa kufanya citation itusaidie kama Taifa kudhibiti kadhia hizi.

Kwa kweli siyo vizuri kuzusha uwongo kuhusu mtu fulani. Kama hakuna taarifa kanuni inayotumika ni ku'suspend' judgement. Kwa upande mwingine, kutotoa taarifa kuhusu jambo fulani ambalo watu wako entitled kujua husababisha baadhi ya watu waanze ku'speculate' kwa sababu the human mind "desires to know".
 
Serikali kushindwa wajibu wake wa uwazi na kutoa taarifa ya viongozi,sasa inataka kufanya "drama"!"eti kumshughulikia aliyezusha maneno.

Naona jamii imeiwajibisha Serikali kutoa taarifa,na ndio maana wamejipanga na kufanya mzushiwaji atoke hadharani.
 
Waziri Nape ameandika haya kwenye ukurasa wake wa X (zamani Tittwer):

"Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao itumike vizuri na kwakuwa tuna Taasisi na watu wa kusimamia sheria hizi, bila kuathiri uhuru wa watu, TUTACHUKUA HATUA kutokomeza matumizi haya mabaya ya mtandao! Naamini wote watatuelewa!

"Nimeelekeza vyombo vyote vinavyohusika kuchukua hatua za mfano, ili tujenge jamii inayoheshimu uhuru wa kila mtu. Uhuru wowote unapoingilia uhuru wa mwingine ni uvunjaji wa sheria, hatuwezi kujenga jamii inayoona hilo ni jambo la kawaida!"
Kuna siku naye atalalal jela, it is a matter of time! Huyu kinde wa Div 0, zake zinahesabika. Watu walikuwa wanahoji yuko wapi? Is that a crime?
 
Je Kassim Majaliwa aliyesema jiwe ni mzima anachapa kazi na ana mafile mengi ya kusoma alisema hayo March 13 , 2021.

Siku Samia anatangaza kifo , alisema jiwe alilazwa tangu tarehe 6 Machi ,2021.

Je nani hapo muongo na muongo aliyezusha mtu ni mzima kumbe taabani kitandani tumfanye nini?

Nape ni empty sana !
Div 0 eti ni waziri? yakafue vypi kwa mama huko.

1702313832654.png
 
Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais

Nanukuu

"Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao itumike vizuri na kwakuwa tuna Taasisi na watu wa kusimamia sheria hizi, bila kuathiri uhuru wa watu, TUTACHUKUA HATUA kutokomeza matumizi haya mabaya ya mtandao! Naamini wote watatuelewa

Nimeelekeza vyombo vyote vinavyohusika kuchukua hatua za mfano, ili tujenge jamii inayoheshimu uhuru wa kila mtu. Uhuru wowote unapoingilia uhuru wa mwingine ni uvunjaji wa sheria, hatuwezi kujenga jamii inayoona hilo ni jambo la kawaida"
Walioba mabilioni kwenye vipuri vya ndege mnawapa keki
 
Huku bosi wake rais Samia anasema tuwe jasiri kuhoji!
 
Kuna mjadala ameanzisha Waziri Nape kuhusu kuchukuliwa hatua kwa wanaohusika na uzushi wa kifo. Wakati vyombo vya dola vikisubiri maelekezo ya maandishi kutoka kwa Mhe. Waziri kama mlalamikaji naomba wanaofahamu sheria za nchi watuambie kama kuna kosa kisheria au nikunyume na tamaduni zetu?

Kama ni kosa kisheria itatusaidia sana kuwachukulia hatua wale wote wanaokurupuka kutoa taarifa za misiba kwenye mitaa yetu. Tuelimishane hapa tuanze kuchukua hatua.....ni vyema unapochangia ukatuwekea na sheria husika japo kwa kufanya citation itusaidie kama Taifa kudhibiti kadhia hizi.

Wewe ndiye baba wa familia ukipotea bila kuiaga familia tunayohaki ya kusema umeikimbia familia au huenda umetekwa na nyumba ndogo.
 
Back
Top Bottom