USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waanze na lema na maria sarungi
Kwani mpaka sasa hawajakatwa tu hao watu? Walikua wanasubiri nini kuwatafuta kabla mzee hajajitokeza?
Umemshau na mzee LISSUWaanze na lema na maria sarungi
Pia wamshughulikie na PM Majaal kwa kumsingizia yuko nje ya nchi kwa kazi maalum!Waanze na msemaji mkuu wa serikali. Ndio alipaswa kutoa taarifa ya alipo Makamu wa Rais.
Hajawahi kuweza kitu, waziri kibogoyo"Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao itumike vizuri na kwakuwa tuna Taasisi na watu wa kusimamia sheria hizi, bila kuathiri uhuru wa watu, TUTACHUKUA HATUA kutokomeza matumizi haya mabaya ya mtandao! Naamini wote watatuelewa
👍✔️Pia wamshughulikie na PM Majaal kwa kumsingizia yuko nje ya nchi kwa kazi maalum!
Makamo wa rais ni wa wananchi wote.Nimeelekeza vyombo vyote vinavyohusika kuchukua hatua za mfano, ili tujenge jamii inayoheshimu uhuru wa kila mtu. Uhuru wowote unapoingilia uhuru wa mwingine ni uvunjaji wa sheria, hatuwezi kujenga jamii inayoona hilo ni jambo la kawaida"
Contradiction ??!!!Tunataka vijana wenye uwezo na uthubutu wakuhoji 09 December 2023 S S HASSAN
Hakuna haja ya kutumia ovyo rasilimali zetu...Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais
Nanukuu
"Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao itumike vizuri na kwakuwa tuna Taasisi na watu wa kusimamia sheria hizi, bila kuathiri uhuru wa watu, TUTACHUKUA HATUA kutokomeza matumizi haya mabaya ya mtandao! Naamini wote watatuelewa
Nimeelekeza vyombo vyote vinavyohusika kuchukua hatua za mfano, ili tujenge jamii inayoheshimu uhuru wa kila mtu. Uhuru wowote unapoingilia uhuru wa mwingine ni uvunjaji wa sheria, hatuwezi kujenga jamii inayoona hilo ni jambo la kawaida"
Mwamba ebu kesho ibukia Kituo cha Polisi kilicho jirani na wewe ukawaulize hilo swali. Bila shaka wataufyata! Nakuaminia Mwamba!!!!Taarifa gani hizo potufu kuhusu Mpango zilizoambazwa mkuu?
Mheshimiwa Nape: ukifanya hivyo utakosea, you'll be playing in their hands. Kama ungewashikija adabu VP KABLA yakujitokeza ingekuwa safi sana. Sasa ukiwakamata watakuuliza ulikuwa wapi, na wewe si hukujua? Let them go, wacha waone aibu kwanza.Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais