Waliosambaza taarifa potofu dhidi ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kukiona cha mtema kuni. Waziri Nape atoa maelekezo

Tunataka vijana wenye uwezo na uthubutu wakuhoji 09 December 2023 S S HASSAN
Wakihojiwa wanahamaki!
Ofisi ya umma ni jalala, usipotaka kuhojiwa inatakiwa ukakae kwako na familia Yako na uondoke kwenye ofisi ya umma!
Wewe ni mwajiriwa wa wananchi, usipoonekana ofisini we ni mtoro na unachezea Kodi za wanyonge na hao wanyonge watakusaidia kusema ulipo! Na unachofanya!

Hizi staili za bonge kutisha watu kwa makosa yake ya kutotoa taarifa ni staili za kishamba sana!

Huwa wakija ulaya na masuti yao summertime tunacheeeeka! Viongozi wengi wa bongo washamba sana!
 
Akamtwe kwa mfno mtu anaitwa mmm akamtwe hyu naona jamaa Ana kiburi mno
 
Wametangulia Kisutu, maana wapo zaidi ya watu 20,000 /- wote ni watumaji , wasambazaji an waliohoji!
sis tunasubiri kesi ya kihistoria ya kuhoji alipo mwajiriwa wa wananchi ambaye inasemkekana hajaonekama kituo cha kazi kwa siku 40 na mwajiri anahoji alipo mwajiriwa then anatishiwa kesi, upuuzi tu.
 

Alikuwa anatibiwa bwana hiyo jamaa afya take ni mgogoro
 
Waliochelewa kutoa taarifa za wapi alipo VP hadi kuleta taharuki wawajibishwe.
 
Sasa watamuweza mange kimambi?
 
Mbona nawe ni muongo muongo tu hadi unatumia jina fake ili uweze kutukana ?hivi unajisikiaje siku wanao wakijua kuwa baba anashinda kwenye mitandao kwa ID fake?
Lazima iwe fake. Maana mkizidiwa hoja mnaua na kupoteza watu!! Alafu tusi gani umeliona hapo? Una kichaa wewe.
 
Hili tutusa linapenda sifa za kijinga.

Wangeepusha yote hayo kwa kutoa taarifa sahihi na kwa wakati kwa Raia.

Au anadhani wamepewa hayo madaraka ili kutisha na kuonea watu.

Stupid kabisa.
Leo mnaziona kauli za Nape Kama msumari wa MotoπŸ˜…, wakati wa Magufuli hata akitokea makonda akasema mtu apigwe risasi utachekelea!.
 
Nape kabla ya kutukamata wahalifu tuambie ukweli wa alikokuwa makamu wa rais.
 
Nape huyu aliye pata four ya 29 na F ya Civics
 
Kwani Pena ni nani kwenye hili wakati Muathirika mwenyewe yeye hana shida na wala hajalalamika, ila amepewa ujumbe tu kuwa kwa vile yeye ni Public Figure, Kusemwasemwa ni lazima...

Huyu Pane anawashwa nanini na aache kimbelembele...
 
Watu kuuliza wapi alipo kiongozi wao ni dalili ya kujali. Walipouliza hawakujibiwa, ikaacahwa vacuum - ikajazwa.
Wa kulaumiwa ni huyo aliacha hilo ombwe la habari la kiongozi huyo. Aliposafiri watu wangejulishwa, kwa nini hawakujulishwa? Baada ya kuanza kuuliza wapi alipo nani alichelewa kujibu? Huyo ni wa kulaumiwa pia.
Watu bado wana kumbukumbu ya kifo cha Rais Magufuli. Alipokosa kuonekana wakahoji -hakuna majibu, Yalipoanza kutoka yakawa na mashaka - mwisho kumbe akawa ni marehemu tayari.
Rais alishasema toeni habari - aliyeficha habari ndiye aadhibiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…