Waliosema Tanzania ni miongoni mwa ligi tano bora Afrika wajitafakari

Waliosema Tanzania ni miongoni mwa ligi tano bora Afrika wajitafakari

Timu zipi mkuu ? hata kufanya vizuri kwa Simba na yanga nikwasababu Kuna wachezaji wa kigeni. Nitajie timu inayofanya vizuri Tanzania yenye wachezaji wazawa tu utagundua wachezaji wetu Kuna shida na hawawezi kulisaidia taifa
Unapick mmoja mmoja kwny kila timu atleast...
Ni kweli timu zetu zimejaa wageni
 
Simba ali prove kwa kotolewa? ushabiki sometimes unaweza kukufanya upoteze akili
Unaweza ukadhani una akili kumbe sivyo.
Sote tuliona hapa, Orlando hakuwa na mpira wowote wakuipamba Ligi ya south.
Mpira gani ule?
Kaizer Alikuwa na Mpira gani?
South timu ya maana ni moja tu.
 
Unaweza ukadhani una akili kumbe sivyo.
Sote tuliona hapa, Orlando hakuwa na mpira wowote wakuipamba Ligi ya south.
Mpira gani ule?
Kaizer Alikuwa na Mpira gani?
South timu ya maana ni moja tu.
Wewe huna akili kabisa unataka kuniambia Simba ilitolewa kwa bahati mbaya na timu zote mbili kwa uwekezaji walio nao Kazier Chiefs na Orlando pirates? Chukulia mfano profile za makocha kama Ben Mcathy kutoka Amazulu kaenda Manchester United, Pisto Misomane kuna timu hapa bongo inaweza kuwa ajiri?
 
Back
Top Bottom