Unapick mmoja mmoja kwny kila timu atleast...Timu zipi mkuu ? hata kufanya vizuri kwa Simba na yanga nikwasababu Kuna wachezaji wa kigeni. Nitajie timu inayofanya vizuri Tanzania yenye wachezaji wazawa tu utagundua wachezaji wetu Kuna shida na hawawezi kulisaidia taifa
Unaweza ukadhani una akili kumbe sivyo.Simba ali prove kwa kotolewa? ushabiki sometimes unaweza kukufanya upoteze akili
Wewe huna akili kabisa unataka kuniambia Simba ilitolewa kwa bahati mbaya na timu zote mbili kwa uwekezaji walio nao Kazier Chiefs na Orlando pirates? Chukulia mfano profile za makocha kama Ben Mcathy kutoka Amazulu kaenda Manchester United, Pisto Misomane kuna timu hapa bongo inaweza kuwa ajiri?Unaweza ukadhani una akili kumbe sivyo.
Sote tuliona hapa, Orlando hakuwa na mpira wowote wakuipamba Ligi ya south.
Mpira gani ule?
Kaizer Alikuwa na Mpira gani?
South timu ya maana ni moja tu.
Hakuwa na mpira wowote halafu timu zote zikafika fainali. Wewe jamaa ni shabiki wa Rage kisawasawaUnaweza ukadhani una akili kumbe sivyo.
Sote tuliona hapa, Orlando hakuwa na mpira wowote wakuipamba Ligi ya south.
Mpira gani ule?
Kaizer Alikuwa na Mpira gani?
South timu ya maana ni moja tu.
Mwambie huyoHakuwa na mpira wowote halafu timu zote zikafika fainali. Wewe jamaa ni shabiki wa Rage kisawasawa
Mpira wa Tanzania bado Sana huo ndio kweli tuzidi kujifariji tuYani hii nchi hatujawahi kujiamini,
NonsenseKuna watu wasipojidharau hawajisikii vizuri; huyu mleta mada ni mmojawapo.
Uingereza timu ya taifa ni bora mkuu inacheza tano bora duniani mara nyingi. Imefika fainali Euro mara kadhaa n.kUingereza angekua Unstoppable kwa argument yako
Bs.Nonsense