#COVID19 Waliosema wanatupa wiki 2 tuanze kuokota mizoga barabarani, wako wapi siku hizi?

Kwahiyo mnatupa siku ngapi mizoga ianze kuzagaa hovyo barabarani😂😂😂
 
Lini wazungu watatupa ujuzi wa kurusha sattelite? By the way, ilikuwa unachangia uzi huu au?
 
Hata mtu aliyeugua Corona mi sijawahi kumuona, nasema ule ukweli wa Mungu kabisa
 
Hongera mkuu, usiombe wakwenu wafe, acha korona, kifo chochote kinauma.
Lakini ni ukweli kuwa corona inaua.
Chukua tahadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu huko ndiko ulikokuwa ukitafutia takwimu, labda kama ulikuwa unawatafutia kesi vijana wa watu?

Wewe hujui kuwa wengine wote ni marufuku kuwa na takwimu hizo ulizokuwa unatafuta isipokuwa mtu tano wakiwamo Ummy na Abbas?

Kwa nini mnawatafutia kesi vijana wa watu ili baadaye mjinasibu kwa bashasha ya kuwa sasa mnaowashikilia wamefika kadhaa?

Taarifa ya mwisho si mlisema mko nao vijana 2? Vipi wameendelea kuwapiga chenga ya mwili?

Hivi, katika ile 10m ya mchango wa kule kanisani, mkuu wewe ulitoa ngapi? Mzee baba aliamua kufunguka kabisa safari hii. Kuwa ule ulikuwa wake wakiwamo pia wale vijana mnayetembea naye. Ya kwamba wengine mlikuwa ndani na wengine nje ya lile kanisa.

Mkuu, wewe ulikuwa ukipiga mingo kipande cha wapi? Ndani au kwa nje huku ukipata upepo mwanana?
 
Zamani mpaka ufipa huko ndani kulikuwa majembe yanatengenezwa pia shoka ni magumu haswa lakini mpaka sahizi sijui kama yanapatikana, sahizi unanunua jembe siku moja jembe limepinda , wakati wazee walikuwa wanafua vyuma halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…