- Thread starter
- #121
Waliopo kwenye vyeo hivyo sasa mtawaua au ndio wanawashikia nyie mliofanyiwa vetting ?Mkuu, in 62 months, these people will be gone.. These vacancies will again be up for grab... Sasa kwa nini ujipe presha? Hiki ni kipindi cha kujipanga tena for 2025 kwa wale wote waliokosa.
Wamedanganywa, ngojeni akibahatisha kushinda mtamkoma, na hivi hagombei tena.