Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
We waache tu, mwaka huu akili zitawakaa sawaHahaha chama kina wenyewe, wanajiita CCM mpya.
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We waache tu, mwaka huu akili zitawakaa sawaHahaha chama kina wenyewe, wanajiita CCM mpya.
Kwaheri. Tuonane 28/10/2020.Tunaendelea kuwakataa wote ambao wametevliwa juu, zengwe lá hujuma lazima tulifanye kwenye uchaguzi
Nalog off
Kama rushwa ni kigezo kilichotumika. Tulia Ackson alitoa maharagwe?
Mkuu utakuwa ni mshabiki maandazi wa siasa nchi hii. Usitake kujifunzia kwangu kujenga hoja. Sina muda mchafu wa kubishana na mbulukenge usiyefahamika hata Jamiiforums. Nalog off.LETA USHAHIDI WAKO KAMA ALITOA RUSHWA
Kwani chadema na ACT wazalendo hawana wagombea Hadi wachukue waliokatwa CCM? Mna matatizo gani?Ulikuwa mshindi halali kura za maoni, lakini Watawala wajuu wakakukata jina lako na kumuweka mtu wanayemtaka.
Kisha mliokatwa mkaambiwa muwapigie kampeni hawa mahasimu wenu, kwa ahadi kwamba mmeshafanyiwa vetting mtateuliwa kwenye nafasi zingine...
Hahaha nadhani hujaelewa, tunawashauri waliodhurumiwa haki yao waende chama chochote, siyo lazima iwe Chadema na ACT.Kwani chadema na ACT wazalendo hawana wagombea Hadi wachukue waliokatwa CCM? Mna matatizo gani?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hahaha mi nataka waonyeshwe nguvu ya umma.We waache tu,mwaka huu akili zitawakaa sawa
Nalog off
Hahaha ushahidi utafaa nini kama mwenyeketi keshaamua awe mgombea?!LETA USHAHIDI WAKO KAMA ALITOA RUSHWA
Hahaha UCHOCHEZI tena mkuu?! Tunawakumbusha waweze kudai haki yao kivingine, kwa kurudi kwa wananchi waliowapa ushindi wawachague ili kudhihirisha kwamba walionewa, na hakipendwi chama bali mtu.Hii post ni ya kichochezi na imejaa wivu, husda na kukatishana tamaa.
Acha watu washiriki siasa wapendavyo; usowafokee maana ni haki yao.
Hahaha hayo ndiyo mambo, hawezi yule.Mzee Chenge njoo Chadema uwanyoshe hao
Hahaha usiktukane, mfunze aelewe JF unaweza kuwa wewe ndiye uli mu inspire akajiunga, sasa msaidie aelewe.Mkuu utakuwa ni mshabiki maandazi wa siasa nchi hii. Usitake kujifunzia kwangu kujenga hoja. Sina muda mchafu wa kubishana na mbulukenge usiyefahamika hata Jamiiforums. Nalog off.
Wewe ni genius sasa watafute tuwapigie kura wasiendelee kudanganywa.Naunga hoja
CCM haigawi vyeo bali inagawa majukumu, hao wanawake unaosema wanalia siku ya ndoa siku hizi hawapo bali waliopo siku hizi wanaserebuka kinomanoma hata aibu hawanaUlikuwa mshindi halali kura za maoni lakini watawala wa juu wakakukata jina lako na kumuweka mtu wanayemtaka.
Kisha mliokatwa mkaambiwa muwapigie kampeni hawa mahasimu wenu kwa ahadi kwamba mmeshafanyiwa vetting mtateuliwa kwenye nafasi zingine.
Kataeni ujinga huo, yani aliyekukata usigombee baadae aje akuteue?
Inakuingieni akilini kweli, kwanini asingemteua huyo aliyempenda na kumpa nafasi yako uliyopewa na wananchi?
Wanasema mlitoa rushwa, sasa kama hilo ni doa tayari huo uteuzi mtaupataje?
Fanyeni maamuzi sasa, nendeni vyama vingine mkagombee kama mnaamini mlishinda na mtashinda nafasi za kuchaguliwa.
Kumbukeni hizi za kuteuliwa ni kama mwanamke anayechumbiwa, hana uhakika wa kuolewa mpaka siku ya kufunga ndoa.
Na ndio maana huona wanawake hulia siku ya ndoa, hawaamini wamefikia hatua hiyo.
Jitoeni CCM nendeni CHADEMA, ACT au chama chochote mkathibitishe hamjatoa rushwa na mlionewa ili wananchi wachague, huko CCM hata mkibaki mmeshatuhumiwa kwa rushwa, sasa mtateuliwa vipi?
Muda ndio huu msichelewe kwa ahadi hewa mtajuta.
Hahaha ungemsahihisha Polepole yeye mdiye alisema kwamba wale walioshindana tayari wameshafanyiwa vetting na watateuliwa kwa kupewa VYEO vingine.CCM haigawi vyeo bali inagawa majukumu, hao wanawake unaosema wanalia siku ya ndoa siku hizi hawapo bali waliopo siku hizi wanaserebuka kinomanoma hata aibu hawana
Hahaha ushahidi utafaa nini kama mwenyeketi keshaamua awe mgombea?!
Hahaha kwani hata yeye sura yake tunaipenda basi?! Ni kwamba hatuna uwezo wa kumkata.Tatizo ni kwamba walio wengi hawapendi ile kitu "let's see in another time, I will be back with Armour". UNAKUTA MWENYEKITI HAIPENDI TU SURA YAKO NA SIO TATIZO MATOKEO.