Uchaguzi 2020 Walioshinda kura za maoni na kukatwa, msikubali ujinga huu

Uchaguzi 2020 Walioshinda kura za maoni na kukatwa, msikubali ujinga huu

Kiukweli Kawe hata mimi nilijionea mauza uza
Yule hata yeye bado hajui alishindaje, kaahidiwa arateuliwa baada ya uchaguzi.
Wale ccm walijua wangempa ushindi mtu mwenye akili timamu ingekuwa ngumu kumpora, wakaona wamsukumizie mtu hata asiyejulikana ili iwe rahisi kumpora.

Yule dogo hata kura moja hakupata.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kama rushwa ni kigezo kilichotumika. Tulia Ackson alitoa maharagwe?
Kwanza walikuwa wanazidiana rushwa hakuna ambaye hakutoa, subiria kampeni zianze wananchi tuanze mavuno, ndo msimu wetu huu.

Wakitangazwa washindi hatuwaoni tena na jina wanaitwa waheshimiwa.
 
Ulikuwa mshindi halali kura za maoni, lakini Watawala wajuu wakakukata jina lako na kumuweka mtu wanayemtaka.
Kwani unafikiri Magufuli anafanya kazi hii vijana wake ndio wanachambua na kuwachomeka walio wakati pochi nzuri na nono, yeye magufuli anao wakwake tu anaweka na kutoa ila kazi kubwa ni hao vijana wake, angalieni akaunti zao za benki sasa hivi zilivyo jaa
 
Hahaha pesa ya rushwa haziwekwi bank.
Vyovyote vile wamekatwa, na waliokatwa waondoke huko.
 
CCM walikosea sana kutowaruhusu wagombea wakawa wanakubaliana mapema kabla ya kura za maoni maana haiwezekani tukawa wote kwenye kinyanganyilo mpaka tunapigiwa kura tukiwa watu 60 alafu mwishoni wale walioongoza wanaenguliwa na kuwatangaza wengine alafu mwishowe ukasema eti tuwaunge mkono walioteuliwa.

Ilikuwa vyema watia nia wote kukutanishwa kabla, kisha kuona niwagombea wangapi wanaweza kukubaliana kwa kujipima wao wenyewe kisha wangelibaki kama watatu hivi kila jimbo, alafu hao ndowapigiwe kura,kuliko wingi wa wagombea wote alafu mwishoni ndo uchambuzi unafanyika!.Nidahili ata upembuzi haukufanyika vizuri ukilinganisha wingi wa wagombea kila jimbo na siku zilizotumiika kufanya zoezi la kuchuja na kupatikana mgombea mmoja.
 
Sasa ondoja huko kama ulishinda na ukakatwa.

Ccm hawatakuteua popote. Walidanganya watu ohoo atakayeshinda huyo huyo, kumbe ilikuwa ina wenyewe.

Sasa kulikuwa na haja gani kuwafukuza kina Ole Sendeka ukuu wa mikoa kama hakukuwa na haki?!
 
Ukishajiunga ccm akili zako zinadumaa unakuwa mfano wa msukule.hata wakikatwa wanaona
ni sawa tu..Kisha.wanarudi.tena
kuwapigia.kampeni wale walioteuliwa badala yao
 
Ukishajiunga ccm akili zako zinadumaa unakuwa mfano wa msukule.hata wakikatwa wanaona
ni sawa tu..Kisha.wanarudi.tena
kuwapigia.kampeni wale walioteuliwa badala yao
Hahaha hili ni tatizo la mfumo wa elimu nchini au tatizo la walimu au ni chanjo wapewayo na ccm?!

Inaelekea ni ugonjwa hatari huu.
 
Umeomwona huyo mama tuu aliyebadilishwa badala y aSegerea amepelekwa Kyerwa? hapa tuko na akina David Silinde na Katambi
Watapata shida sana. Kura moja halafu ugombee jimbo?!

Halafu washindi ndio wawapigie kampeni hahaha kashfa hizi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] chanjo ya kuwa wajinga...
Hahaha huwezi amini inaelekea walichanjwa huko.

Maamuzi yao yanatia shaka.

Kama watoto, mama anakuchapa ukilia anakwambia pole... nyamaza, unanyamaza.
 
Hivi mzee Kapuya si alishinda
Amekatwa eeee
Screenshot_20200714-123404.jpg
 
Kwa waliotoa rushwa?
Nani hakutoa rushwa?! Rushwa zilizidiana kwa kila mgombea, wapo waliotia elfu kumi, wapo waliotoa laki, na wapo waliotoa laki tano.

Chama kina wenyewe, haikujali ulitoa hukutoa.
 
Back
Top Bottom