Waliosoma Iyunga Technical Mbeya

Waliosoma Iyunga Technical Mbeya

nimemaliza iyunga mwaka 2005, kumbusha sana enzi za mwakalindile discipline master alikuwa anashusha stick za uhakika na sura yake mbuzi....

nai miss sana iyunga...

Mkuu we ulimaliza na akina Cuthbert melele na akina ndenga akina Mngazija hawa jamaa generation ilikua balaa mibangi kibao
 
Mambo ya U table leader, kupiga mluuzi, kwenda lumbila, kumkimbia Kisusange Mkionana town
 
Mkuu we ulimaliza na akina Cuthbert melele na akina ndenga akina Mngazija hawa jamaa generation ilikua balaa mibangi kibao

hahaha kipindi kile iyunga ilikuwa imepinda kinoma chini ya kisu da acha tuu... mkuu inaonekana unajua generation zote zilizopita pale wewe ulimaliza mwaka upi?
 
hahaha kipindi kile iyunga ilikuwa imepinda kinoma chini ya kisu da acha tuu... mkuu inaonekana unajua generation zote zilizopita pale wewe ulimaliza mwaka upi?

Haahahahah nikikwambia utacheka tu huo mwaka we upo form 4 mi nipo form 2
 
we ulisoma na kina emma rukanda, emma bonge, kitopu, ikongwe, emma lukumay....etc...halafu form 2 na 4 ya kipind kile ilikuwa korofi sana na mibange
 
we ulisoma na kina emma rukanda, emma bonge, kitopu, ikongwe, emma lukumay....etc...halafu form 2 na 4 ya kipind kile ilikuwa korofi sana na mibange

Yap mkuu enzi za wababe wa msuli akina tibinura,kundete,hamidu ,mkemwa hahahah jamaa walifumua mi 1 ya singo tupu daah iyunga ilikuwa raha sana
 
Wazee wa Shaban Robert sie,,, ilikuwa mbali sana kama una msala wa kumvushia msosi JUAJI....

Kisusange ndio aliharibu ile complex,,, kuna ticha Gumbo alikuwa coordinator wa disko na watoto wa Loss
 
Yap mkuu enzi za wababe wa msuli akina tibinura,kundete,hamidu ,mkemwa hahahah jamaa walifumua mi 1 ya singo tupu daah iyunga ilikuwa raha sana

hahah da me nilikuwa na idea ya kuandaa movie ya lifestyle ya iyunga ya kipindi kile ionyeshe uhalisia wa maisha tuliyokuwa tunaishi...aisee itakuwa poa sana
 
Wazee wa Shaban Robert sie,,, ilikuwa mbali sana kama una msala wa kumvushia msosi JUAJI....

Kisusange ndio aliharibu ile complex,,, kuna ticha Gumbo alikuwa coordinator wa disko na watoto wa Loss

Shaban robart na luthuli mabweni ya manunda luthuli iliitwa Baghdad au jumba dhahabu haahhahah kule msala ukiibuka watu haooo lumbila au nzovwe mtonii au kalobe
 
hahah da me nilikuwa na idea ya kuandaa movie ya lifestyle ya iyunga ya kipindi kile ionyeshe uhalisia wa maisha tuliyokuwa tunaishi...aisee itakuwa poa sana

Itakua po bro maana maisha ya pale so mchezo kama jeshini vile
 
Discpline master sasa hivi ni ambonisye,ndudi a.k.a mtanzania yupo kama kawa, mwalimu mkuu ni mwantimwa
 
Mimi nilimaliza mwaka 1999.Nakumbuka mwalimu wa hesabu Kiloloma Mtovakali,Mwakasyana na Naricho.Mwalimu Fuvu,Ndudi nk.SecondMaster Mwl Dinya
 
wap kibwengu wapi madeha wap capable wap shija mobb wap civil mobb wap wazee wa mjengo wap mtoto pori wap man vuzy wap pfunky majani wazeee wa madisc na pola wap malabeja dav mwakitalu je wap baraka mwaisaka 2005 iyoooooooo iyunga raaaaha tupu nilshkwa na ndudi naiba. yali mesini weeeee
 
Hahahahaàaàa those old good dayzz when Iyunga was Iyunga,ukiwa na two umefeli.wazeee wa maboila na vidudu
 
Back
Top Bottom