Handsamjerry
Member
- Feb 18, 2011
- 10
- 4
Sekioni huyohuyo wa comedy alipiga pale tulikuta historia yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nilienda mbeya mwaka 2003 bata sana na kisu, sema alibadilika sana, nilimkuta amepungua tambi lileMkuu huyo Madame ni mama lakamoyo au?
Nawakumbuka hao jamaa, Wiliam mngazija na cuthbert merere nilikuwa class monitor wao form 1F 2002,Mkuu we ulimaliza na akina Cuthbert melele na akina ndenga akina Mngazija hawa jamaa generation ilikua balaa mibangi kibao
Mkuu ukiwa tayari kuandaa hiyo move nishirikishe, napamiss sana Iyungahahah da me nilikuwa na idea ya kuandaa movie ya lifestyle ya iyunga ya kipindi kile ionyeshe uhalisia wa maisha tuliyokuwa tunaishi...aisee itakuwa poa sana
David mwakitalu nilikutana nae ni police kilimanjarowap kibwengu wapi madeha wap capable wap shija mobb wap civil mobb wap wazee wa mjengo wap mtoto pori wap man vuzy wap pfunky majani wazeee wa madisc na pola wap malabeja dav mwakitalu je wap baraka mwaisaka 2005 iyoooooooo iyunga raaaaha tupu nilshkwa na ndudi naiba. yali mesini weeeee
Umenikumbusha mbali asee hao tulikua nao mwaka mmoja asee iyunga ilikua hotYap mkuu enzi za wababe wa msuli akina tibinura,kundete,hamidu ,mkemwa hahahah jamaa walifumua mi 1 ya singo tupu daah iyunga ilikuwa raha sana