Waliosoma Iyunga Technical Mbeya

Waliosoma Iyunga Technical Mbeya

Hilo bweni kipindi kile nipo advance liliunguaga nowdays sijui kama linatumika

siku hilo bweni linaungua nilikuwa nimefungiwa ndani ya bwen la mkwawa kuna chamber moja tuliipa jina magorofani ilikuwa maarufu sana, unamkumbuka kelvin kihwelo?
 
iyunga1.jpg
 
Shule yetu iyunga ya ufund ipo katika mkoa wa mbeya
magharibi mwa jiji la mbeya,elimu ya iyunga ya kisasa
ya kitanzania kuiendeleza ni daima x2

Nilikua nachukia kuimba huu wimbo wa shule kila juma tatu na maswala ya kukaguana assembly asubuh na kina mwambene,ndudi, mshana na mng'ong'o aka dude. Ikifika usiku ni kuishia lumbila kwenye muvi huko huko na kukutana na watoto.Asubuhi ikifika wenye ela zetu tunakimbilia kiyunzo kwenye maziwa mazitoo ombea uko usikutane na kina ndudi ni msala.
Ikifika disco ni toto za loleza apo kila mtu atajitahid kuoga japo na lile barid lilikua ni noma sasa ukute mtu ana pafyum itagongewa na washkaj mkiingia wote mnanukia pafyum ya aina moja had madem wanagundua.
Kwenye soka sasa ndo usiseme ni vurugu,shule kama meta,kalobe tukikutana nazo ni vita tu.Yale maisha yalikua ni vurugu vurug tu hadi raha yan
 
Wapi mtanzania, Arooooo, nilikuwa ndani ya Shaban Robert enzi za akina Ras de mzinganga kayamani, siku ya nyali nyoka wote ni michuzi ty, wali ni Majuaji
Huyo Ras De inawezekana ndie Haile D, tulikua nae.
 
Hahahahaha, duh iyungaaaz, mwalimu kambona the mathematician, namkumbuka sana yule Teacher. Sitakaa nimsahau maisha yangu yote. Head master mwaipopo. Then nikiwa form two akachukua kisusange. Akaibadilisha iyunga ikawa ya kibishoo zaidi. Duh iyunga ili nishape mm. Nikawa hivi nilivo na ujasiri huu.
 
Tulihamishiwa Iyunga tukitokea Mazengo iliyobadilishwa kuwa St. John University
 
Nilisoma pale ikiwa shule ya kilimo na siyo ya ufundi, chini ya mkuu wa shule Venance Minga!
 
Mkwawa kulikuwa na chamber inaitwa sobibo ilikuwa noma
 
Shule yetu iyunga ya ufund ipo katika mkoa wa mbeya
magharibi mwa jiji la mbeya,elimu ya iyunga ya kisasa
ya kitanzania kuiendeleza ni daima x2

Nilikua nachukia kuimba huu wimbo wa shule kila juma tatu na maswala ya kukaguana assembly asubuh na kina mwambene,ndudi, mshana na mng'ong'o aka dude. Ikifika usiku ni kuishia lumbila kwenye muvi huko huko na kukutana na watoto.Asubuhi ikifika wenye ela zetu tunakimbilia kiyunzo kwenye maziwa mazitoo ombea uko usikutane na kina ndudi ni msala.
Ikifika disco ni toto za loleza apo kila mtu atajitahid kuoga japo na lile barid lilikua ni noma sasa ukute mtu ana pafyum itagongewa na washkaj mkiingia wote mnanukia pafyum ya aina moja had madem wanagundua.
Kwenye soka sasa ndo usiseme ni vurugu,shule kama meta,kalobe tukikutana nazo ni vita tu.Yale maisha yalikua ni vurugu vurug tu hadi raha yan
Hahhdhahahah we mwana iyunga hasaaa akina ndudi aka mtanzania akina mng'ong'o aka maximo daaah maisha ya pale kama depo vile
 
dah iyunga piece sana namis sua sider member mfundo claudia emily crazfan namanega kibao
 
Mi nimetoka pale 2000, amri abeid na luthuli ndio mabweni nimekaa.
Nawakumbuka manunda kama amanyisye, buya huyu mtu alikua hatari sana. Na mtu mmoja anaitwa katuli nimeambiwa marehemu.
 
Back
Top Bottom