Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
- Thread starter
-
- #21
nimemaliza iyunga mwaka 2005, kumbusha sana enzi za mwakalindile discipline master alikuwa anashusha stick za uhakika na sura yake mbuzi....
nai miss sana iyunga...
Mkuu we ulimaliza na akina Cuthbert melele na akina ndenga akina Mngazija hawa jamaa generation ilikua balaa mibangi kibao
hahaha kipindi kile iyunga ilikuwa imepinda kinoma chini ya kisu da acha tuu... mkuu inaonekana unajua generation zote zilizopita pale wewe ulimaliza mwaka upi?
Mambo ya U table leader, kupiga mluuzi, kwenda lumbila, kumkimbia Kisusange Mkionana town
we ulisoma na kina emma rukanda, emma bonge, kitopu, ikongwe, emma lukumay....etc...halafu form 2 na 4 ya kipind kile ilikuwa korofi sana na mibange
Yap mkuu enzi za wababe wa msuli akina tibinura,kundete,hamidu ,mkemwa hahahah jamaa walifumua mi 1 ya singo tupu daah iyunga ilikuwa raha sana
Wazee wa Shaban Robert sie,,, ilikuwa mbali sana kama una msala wa kumvushia msosi JUAJI....
Kisusange ndio aliharibu ile complex,,, kuna ticha Gumbo alikuwa coordinator wa disko na watoto wa Loss
hahah da me nilikuwa na idea ya kuandaa movie ya lifestyle ya iyunga ya kipindi kile ionyeshe uhalisia wa maisha tuliyokuwa tunaishi...aisee itakuwa poa sana